Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,684
- 36,042
Niliwahi kufanya kazi kwa Mkufunzi mmoja wa UDSM, yeye hakuwa mwajiri wangu ifahamike. Yule Dr.jina mfukoni siku moja alianzisha mada sasa nikaamua kumsifia then nikampa challenge kidogo.
Akafunguka na kuniambia kuwa ukisoma nchi za nje hususani mataifa ya Asia and so lazima uwe makini maana wale walimu wa vyuo vikuu ni kama watu waliopewa maelekezo, kuna vitu vidogo ambavyo ni muhimu sana watakuficha (watakutenga) bila wewe kujua.
Hiki kitu naona kama kina ukweli kabisa maana PhD holders na maprofesa tunao wengi lakini mpaka leo kuna miradi ambayo inasimamiwa na wachina wenye diploma na certificate za engineering huku wao huishia kuwa wahandisi washauri tu.
Hawa ma PhD ambao wanajitapa wamesoma Russia, China, US ndio huwafundisha vijana kwenye vyuo vyetu.
Kuna elimu imejificha (tumefichwa). Kuhusu kulegea nati za kichwani kwa baadhi ya Wasomi wakitanzania waliosoma China na Urusi sijamuuliza, ninalifanyia utafiti kwanza.