Ukichunguza sana Taasisi nyingi zikiwemo za serikali zinaendesha mambo kitapeli tapeli

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Watu wengi matajili bongo hii ukichunguza utajili wao haueleweki;
Miaka ya hivi karibuni wizara ya elimu ya juu walikuwa na utaratibu Wa kutangaza "Application Form" za kujiunga na chuo kikuu zichukuliwe mapema Kwa wahitimu woote kabla ya matokeo ya form six kutangazwa.
Ukitafakari malengo ya kuweka deadline ya kuchukuwa form na kurejesha kuwa kabla ya kutangazwa matokeo ni kutaka Kukusanya Pesa nyingi hata Kwa wasio husika. Unapochukua Pesa za application form Kwa watu laki moja maanake unakusanya (3 BILLION) hata kwa wasiohusika halafu baadae unahudumia watu elfu ishirini tu maana yake nini? hapo ndipo utapeli unahusika! Lakini kwakuwa hatuhoji huwa tunanyamaza!
Kwanini serikali ilikuwa inachukua gharama za application form kabla ya matokeo kutangazwa?
Njoo wizara ya nishati- kwenye umeme! Mtu anaomba huduma analipishwa nguzo, transformer n.k halafu anaambiwa hii siyo Mali yako ni ya shirika na bado anaendelea kulipia huduma.
Mambo haya ukiyatafakari ndipo utagundua utapeli upo Kwa kiasi gani
Hawa kina Dr.shika ni moja tu ya matunda ya kuzoea mifumo ya kitapeli!
Ukiangalia promosheni nyingi ni utapeli mtupu na serikali huwa haisemi chochote!
Ukipita huko mtaani utakutana na mabango ya nafasi za kazi zenye masharti ya kulipia elfu 2 ya form.
Wooote huo ni utapeli mtupu!
Lakini mwisho Wa siku wenye ujasiri ndiyo wanao fanikiwa!
Leo hii mtu au taasisi ikitaka kuchunguzwa ionyeshe statement ya Pesa ilizonazo kwenye akaunti, Mifumo ya kitapeli iliyopo nchini inauwezo Wa kuingiza Pesa zozote kwenye akaunti ya Taasisi na baadae zikaondolewa.
Haya ndiyo maisha ya kibongo. Utapeli upo kuanzia serikalini hadi ngazi ya chini kabisa ya kina Dr. Shika.
=================
 
sawa sawa, uko sahihi. kwa hisani ya Joseverest
 
Maji napo ni wizi mtupu. Bomba la maji safi na majitaka uweke Mteja, halafu baadae litakuwa mali ya DUWASA!
 
umesahau iptl, epa, kupungua kwa tembo awamu iliyopita, makontena kupotea bandarini bila kulipa kodi... bado yale yanayotolewa taarifa na CAG...
 
Watumishi wengi Maisha yao ni ya kubahatisha, hawana uhakika na kesho yao hivyo hayo ndo yanawapunguzia ugumu wa Maisha!!
 
Back
Top Bottom