ukichunguza mumeo chunguza na mawifi zako

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
watu wengi wamekuwa wakijitahidi kuwachunguza wachumba watarajiwa na mwisho wa siku wanapomaliza kucheza ngoma wanakutana na mlima wa mawifi uliojaa theluji ya makimbizo;hapo ndipo imani uvumilivu inapoamua kufanya kazi...wifi anaamua kukaa kwa kakake habebi maji afui.apiki utamfanyaje mtu huyu na unaelala nae ndio anajiita kaka wa mhusika\
Ushauri wakati tukiwa tunashuriana dawa za mawifi ni vyema ukiwa unamchunguza mumeo chunguza na wifi yo muda uleule....
raha ya mawifi hawafichiki kama wanandoa wanavyojua kuact miaka baada ya ndoa shugulli...wao X ni X ....BLUE/BLUE
Polen wote ,lioolewa na kukumbana na adha za mawifi mungu awatie hamu ya kuwapenda mawifizeenu na kuwachukulia kama walivyo kabla ya yote kumbuka kuwaombea .....
 
In real sense hii post inashabihiana na ile ya Wifi anachukua nafsi yangu ambapo ungetoa mawazo yako haya kule tungeendelea kuchangia.

MODS pleeeeeease
 
Hii thread hapa sio mahala pake kabisa. Jukwaa la Siasa na mambo ya mume na mawifi haviendani kabisa. Mods changanyeni hii na ile nyingine inayohusu Wifi.
 
Kwani kuoa na kuolewa nayo ni siasa? mod please mahusiaono kuna faa zaidi kwa mada hii
 
Back
Top Bottom