Ukichunguza kiundani GSM amejitangaza sana na kupiga fedha kupitia Yanga lakini anachowafanyia ni sanaa tupu

Manji kasaidia yanga wap unafikir manji anaweza sasaiv Aman ilikua usajili mkubwa Milion 70 mpaka 90 na mshahara wa m5 uyo ndio mchezaji mkubwa na league haikua ngum kama Sasa mchezaji usajili unafika mpaka Milion Mia 5 uyo manji unafikir angeweza embu tutajie mchezaji Mmoj alie sajiliwa na manji anaweza kupata namba kwenye yanga hii
Yanga Haina wachezaji wa gharama. NI duni kabisa. Wachezaji wengi imewaviziA wakiwa wamemaliza mikataba. Hajavunja kabati kabisa kuleta wachezaji . Au anachukua kwa mkopo.
 
Acha kujifanya mjuaji, nje ya matokeo mazuri uwanjani na makombe, shabiki unapata faida gani kuishabikia club yako?? Hizo hela shabiki huoni hata 100 mbovu, wanalipana mishahara viongozi huko, furaha yako shabiki ni makombe na ushindi. Km timu yako haikupi hivyo vitu huwezi kuwa na furaha
Kwahiyo siku mtakayokosa kombe nyie mashabiki ndo siku mtakayoamka kutoka usingizini na kumfurusha Muddy Kwa au mngeanza kuamka sasa hivi.,
 
Yanga hata asipochukua kombe misimu kumi ila akimfunga simba mara moja anaridhika sana

Na pia ni mwepesi sana kukata tamaa na kuwageukia viongozi wa ligi endapo akibutuliwa na simba afu at the same time komne hana

Sema usajili kidogo huu wa manara unaweza ukawapa impact sana wakaongoza ligi tena, imagine makambo kafichwa na kishindo cha haji kitu ambacho kingemfanya a trend sana endapo kama haji hajasajiliwa
 
Kwahiyo siku mtakayokosa kombe nyie mashabiki ndo siku mtakayoamka kutoka usingizini na kumfurusha Muddy Kwa au mngeanza kuamka sasa hivi.,
Na Hilo kombe wanalikosaje kwa mfano. Ukiangalia usajili, Benchi la ufundi na program za mafunzo na timu zote zinajieleza. Wanatumia fedha na nguvu zote kufanya maandalizi. Hawabahatishi. Sasa kombe tutawanganyaje?; Au kwa kuroga.
 
Waswahili wanasema "YETU MACHO"
 
Yanga na GSM wote wanafaidika, Wana Yanga sio vipofu wanaona uhalisia wa Mambo. Kwa namna GSM walivyo sajili msimu huu Mimi binafsi naamimini hakuna kikombe Cha domestic kitakacho Baki na kwenye Ligi ya Mabingwa naamimini Yanga itacheza makundi. Sina Cha kumdai GSM.
Njoo utuambie leo GSM wameshindwa vip kukamilisha usajili wa wachezaji muhimu na Mo kawezaje?. Alafu wanakuja na propaganda tena
 
Swala la kusaidia Yanga ni sanaa tupu kwasababu Yanga hapati matokeo uwanjani na Manji leo hii anasifika kwasababu alipata matokeo uwanjani ni hii ni kwasababu upande wa Simba ulikuwa dhoofu in hali na ndio maana Yanga walipata mtelezo kipindi hicho

Ila now imekuwa tofauti, Yanga miaka miwili nyuma walikuwa dhoofu in hali na Simba kupitia Mo dewji wakapata nguvu na kurudi upya huku Yanga wakiwa hawaeleweki ila GSM amekuja kuwashia kwenye gia katika ya safari wakati simba yupo katika speed kubwa

Katika uwekezaji wa soka duniani kote sio timu zote zinafika malengo wanayohitaji kupata

Kuna timu ngapi zina uchumi mzuri kuzidi Yanga duniani zinafanya vibaya

Kama unaongea kwa ushabiki basi hoja yako ipo sahihi ila kama unaongea sports in professional way Basi hauko sahihi mkuu
GSM yupo ki propaganda tu so kujenga timu. Tuliaminishwa eti tutamchukua Miquison alafu tunashindwa kuwalipia ata wale wanamziki watatu wa kongo. Tuwe siliasi tusifanwe watoto
 
Nashukuru kwa maoni yako ndugu mwandishi kama kamati tutalifanyia kazi maoni yako
 
Mtu ukijiunga jf unajiona una akili na kutoa mashudu kama haya. Hujui wewe ni expect member?
Salary unalipa wewe akiondoka au ndio ukolo? Mudi wenu anatumia bil 4 ushahidi uko wapi?
Tena hilo mudi ndio likwepaji kodi na tapeli kubwa liliwapa wachezaji wenu bodaboda.. 😁😁😁
Shida unaangalia Mambo kiushabiki Sana. Kunasehemu Wana yanga tuangalie haya Mambo kiuhalisia.
Haya huyo mudi wao uko hatujasikia Mchezaji kucheleweshewa mshahara au anadaiana na timu. Mo amekubali kuumia na timu. Na ndio maana uvumilivu unamshinda ata chama alivyoonekana kumsifu yule Yuda. Hujui Mudi anaumia kiasi gAni mpaka anatamani kujitoa.
Ila kwa GSM daaah NI uhuni mtupu. Kwanzza anachagua wachezaji labda watatu Hadi sita atakaowalipa wengine wote timu inapambana.
Na mwisho wa siku matokeo ndio yanayoonesha uhalisia wa Nani yupo kwaajili ya timu
 
toka GSM aingie nani hajapata au kucheleweshwa mshahara?

Wewe ni likolo unaona unataka yanga irudi kule kule
Haya kumbe kocha wenu hana hata leseni huko mlimuokota wapi? Nani mjanja mjanja hapo?😀😀😀
 
Mshahara upi wa kusumbua mpaka useme hivyo. Kumbe ata usajili hatununui ila tunavizia wanaokataliwa au kumaliza mikataba. Ivi mbona ata akina namungo na biashara wote wanalipa mishahara. Udhamini wa sportpesa pekee unalipa mishahara iyo ya ki GSM. Angekuwa na wachezaji wa mamilion sawa.
Huyu Jamaa katubana kwa kuangalia njaa zetu
 
Mshahara mwanzo ulikuwa unasumbua mbona kabla ya GSM kuja ulikuwa tofauti na huu? Mbona psg wamemchukua Messi akiwa huru? Ina maana ni mchezaji mbovu kuliko sakho au muhilu mliyenunua!
 
Kwa mess iyo NI tofauti kidogo. Messi Yuko huru kwa kuangalia umri na mshahara na Mchezaji pekee kuchukuliwa na timu kubwa msimu huu akiwa huru.

Sasa Sisi timu kubwa kabisa Tanzania wachezaji wote tunavizia wanaomaliza mikataba na wanaokosa namba na kuomba kuvunja mikataba kweli?!

Nini maana ya kuwa na mfadhili Sasa. So Bora tuwe Kama biashara au Namungo tu. Kushindwa kulipa mshahara NI upigaji wa viongozi wetu.
Timu ya kulia na mishahara NI watani zetu tu. Karibu wachezaji 13 wa kimataifa. Tena wanasajili sio kuokota wanaotemwa. Tuwe siliasi jamani. GSM anafaidika kupitia njaa zetu.
 
Naomba nikupuuze hujui kitu
 
Naomba nikupuuze hujui kitu
Uwazi ukiwa huru., Ukiweka ushabiki pembeni Mambo yako wazi kabisa. Humuoni Akina Riziwani Kikwete wanavyochambua. Timu iko bize na akina Manara kufanya propaganda lkn maandalizi na usajili NI ovyo ovyo kabisa
 
Yanga na GSM wote wanafaidika, Wana Yanga sio vipofu wanaona uhalisia wa Mambo. Kwa namna GSM walivyo sajili msimu huu Mimi binafsi naamimini hakuna kikombe Cha domestic kitakacho Baki na kwenye Ligi ya Mabingwa naamimini Yanga itacheza makundi. Sina Cha kumdai GSM.
Ushabiki maandazi, tusubiri msimu uishe, muda ndio msema kweli, caf mnahitaji maajabu zaidi ya chelsea 2012 ama ya Liverpool 2005, bora ligi mtaunga mbele kwa mbele ila CAF kazi ipo, timu haijaunga kabisa.
 
Back
Top Bottom