Ukichukua mashabiki Wa Simba na Yanga ukiwaweka Rehani mbona tutajenga nchi.

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,958
28,437
Kweli tushindwe kukopa kisa hatuna cha kuweka rehani? Hapana kamata mashabiki wa simba na yanga wote pakia kwenye meli peleka nchi wahisani kama rehani ya mikopo yetu tujenge uchumi.
Kamata kuanzia wachezaji wao, chukua wasemaji wao, mbona wanakua wengi na kwenye mkopo hatuwezi kukosa tirion 30 hivi maana kuna watu Tanzania wapo wapo tu haieleweki wanalipa kodi au wanashabikia mpira na kubeti tu kila wakati.
 
Back
Top Bottom