Ukichelewa kuoa/kuolewa au mahusiano strong mpaka 30s una possibilities kubwa ya kulamba garasa

kama umetunza hekalu la bwana ulilopewa ni kweli wako atatoka kwake.. ila kama umevua kyupi tu jiandae kwa drama

kwani hizo ndoa za wenye 20 ndo hazina vimeo?mtu wako anatoka kwa bwana regardless umewahi au kuchelewa no guarantee ktk ndoa kuna waliowahi sasa hawaishi pamoja kuna waliochelewa vilevile so ni uamuz tuu
 
watu ambao wapo kwenye risk kubwa wanawake wenye miaka 30 na kuendelea wanakuwa kwenye pressure kubwa ya kutaka ndoa tena ukiwa nae anatakuwa anakukera ndoa lini
 
Ndoa ni muunganiko wa kimwili uliojengwa kwa upendo wa dhati kwenye nyoyo ya wanandoa....upendo huo unawafanya wanandoa wote wawe kama ni mwili mmoja.......
Katika ndoa iliyojengwa kwa upendo ndani yake msamiati wa taraka haupo kabisa kwani kutokana na upendo kati yao kila mmoja najitahidi kwa kadri ya uwezo wake kukabiliana na changamoto zinazowakabili ili kuiimarisha ndoa kwani kwao ni furaha kuwa pamoja na huzuni na vilio kutengana........

Kuishi na mtu kwa kipindi chote cha miasha yako huku mkishare vitu vingi kwenye maisha yenu sio jambo jepesi.....ni jambo linalowezeshwa na nguvu kubwa ya upendo kati yenu....ambayo ni upendo wa dhati baina yenu........

Ni upendo pekee utakaowafanya mvumiliane kwenye shida na raha...
Ni upendo pekee utakaowafanya kila mmoja aumie pindi awapo mbali na mwenzie........
Ni upendo pekee utakaokufanya umuone mkeo au mumeo kuwa ni mtanashati au mrembo kuliko wote chini ya jua............

LOVE TAKES TIME.....

Mkuu umemaliza, comment yangu yote umeibeba, big up.
 
Unataka mahusiano yenu mfahamiaNe kuanzia UTOTONI ushawahi kukumbana na WAKUBADILI GIA ANGANI km m/ kit wa CDM na wanachama wake?
 
Ndoa ni muunganiko wa kimwili uliojengwa kwa upendo wa dhati kwenye nyoyo ya wanandoa....upendo huo unawafanya wanandoa wote wawe kama ni mwili mmoja.......
Katika ndoa iliyojengwa kwa upendo ndani yake msamiati wa taraka haupo kabisa kwani kutokana na upendo kati yao kila mmoja najitahidi kwa kadri ya uwezo wake kukabiliana na changamoto zinazowakabili ili kuiimarisha ndoa kwani kwao ni furaha kuwa pamoja na huzuni na vilio kutengana........

Kuishi na mtu kwa kipindi chote cha miasha yako huku mkishare vitu vingi kwenye maisha yenu sio jambo jepesi.....ni jambo linalowezeshwa na nguvu kubwa ya upendo kati yenu....ambayo ni upendo wa dhati baina yenu........

Ni upendo pekee utakaowafanya mvumiliane kwenye shida na raha...
Ni upendo pekee utakaowafanya kila mmoja aumie pindi awapo mbali na mwenzie........
Ni upendo pekee utakaokufanya umuone mkeo au mumeo kuwa ni mtanashati au mrembo kuliko wote chini ya jua............

LOVE TAKES TIME.....

mapenzi upofu,upofu unaosababishwa na nguvu ya upendo
 
Yaani mtu hujatimiza malengo yako hata 1/2 halafu ukimbilie kuoa kisa you are at 30's?

Huo ni ukichaa no.1

Unakimbilia kuoa kwa sifa au? Jipange mkuu tengeneza pesa kwanza.

Kuna watu huwa wanafikiri ukiwahi kuoa nd'o umemaliza kila kitu hata kama ulikuwa unakula mchicha sasa utakula nyama. Wanajidanganya wengine wanakimbilia kuoa kwa kutafuta sifa tu, kwamba ajulikane na yeye kaoa ana mke! Lakini watu hawa huwa hawajajipanga kwa lolote, baadae mambo yakisha magumu majukumu mzigo, 'virungu' vinaanza . . . Bro' nina siku tatu mimi na mke wangu hatujala, Bro' sijui utanisaidia vipi yani huyu mwanamke hataki kula mchicha, Bro' yani hapa nataka niikimbie nyumba.

Tehe tehe tehe sasa wewe nani alikwambia ukimbilie kuoa wakati hujajipanga ebo!!
 
hakuna ukweli huo ikiwa umeandikiwa kulamba ghalasa utalamba tu hata kama una miaka 20 mimi nina ushaidi wa hilo
 
Back
Top Bottom