Ukichaguliwa kuwa mmoja wao, Utafanyaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukichaguliwa kuwa mmoja wao, Utafanyaje

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by QUALITY, Oct 6, 2010.

 1. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakati wa wizi wa kura, wako watu huteuliwa kupewa kazi ya kupiga kura kabla ya wakati. Hao huwekwa katika chumba maalum ambapo hufanya kazi ya kupiga kura na kujaza katika masanduku yaliyowekwa tayari kwa ajili hiyo ambayo hupelekwa vituoni usiku kwa ajili ya kubadilisha yale ambayo yametumiwa na wapiga kura halali kwa kutumia mbinu chafu watakapopata upenyo.

  Sasa ikitokea wewe ukawa mmojawapo kupewa hiyo kazi, Utatick kwa JK?
   
Loading...