UKIBAHATIKA MWENZA WAKO HAVUTIWI NA SMARTPHONE MSHUKURU MUNGU

Hizi smartphone kiukweli zinaua kwa kasi mahusiano na ndoa nyingi zimefikia tamati kisa simu hasa smartphone. Watu waliopotezana wanakutanishwa kiurahisi mno
Hata namshukuru Mungu
Kwa aliyegundua smartphone wengine

Mume tunataka atoke humuhumu Jf,sasa bila smartphone unazani ingewezekana kweli

Alafu ogopa sana wasio tumia smartphone.........
Najua ushanielewa kiutu uzima.
 
Hata namshukuru Mungu
Kwa aliyegundua smartphone wengine

Mume tunataka atoke humuhumu Jf,sasa bila smartphone unazani ingewezekana kweli

Alafu ogopa sana wasio tumia smartphone.........
Najua ushanielewa kiutu uzima.
Cjakuelewa kiutu uzima ebu tupe maujuzi
 
Tupambane na hali zetu tu tumesharuhusu utundu wazi hapa hakuna namna n mwendo Wa kuchapiana tu mpaka mwisho Wa dahari
 
shida sio smartphone.. shida account insta, facebook, snap chat.. anapost picha zake tu za makalio... mara anageuka huku mara huku... huyo ndie mzigo.... hafai..

ila kama smartphone yake anaitumia kwa manufaa.. huyo ndie anaefaa...
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom