Ukiangalia video ya uzinduzi wa kipindi cha Aridhio TBC Utajiuliza mengi

Toka walishane hizo cake siku ngapi zilipita ndio vifo vikaanza kutokea?
.
Na hiyo corona inachukua siku ngapi hadi kuanza kuonyesha dalili za awali, kali na hata mauti?

Nasubiri majibu
Kama r.i.p Marine kutuhumiwa carrier, ni siku ngapi 'kavuta' baada ya kula keki?
Na hao wafanyakazi wenzake wameanza 'kumfuata' baada ya siku ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka walishane hizo cake siku ngapi zilipita ndio vifo vikaanza kutokea?
.
Na hiyo corona inachukua siku ngapi hadi kuanza kuonyesha dalili za awali, kali na hata mauti?

Nasubiri majibu
We acha tu, sie toka juzi ofa za chai hatupeani Tena,
 
Toka walishane hizo cake siku ngapi zilipita ndio vifo vikaanza kutokea?
.
Na hiyo corona inachukua siku ngapi hadi kuanza kuonyesha dalili za awali, kali na hata mauti?

Nasubiri majibu
Zaidi ya 13 .Yaani hiyo siku ya hiyo party ndo waliambukizana. Wanalishana keki kwa mkono. Kisu cha kukatia keki kimeshikwa na watu wengi. Sahani. 😥
 
Toka walishane hizo cake siku ngapi zilipita ndio vifo vikaanza kutokea?
.
Na hiyo corona inachukua siku ngapi hadi kuanza kuonyesha dalili za awali, kali na hata mauti?

Nasubiri majibu
Kwa mujibu wa mtangazaji aliyekua anaelezea msiba wa Marine Hassan, Kipindi cha kwanza cha Aridhio kilirushwa siku moja kabla ya kifo chake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka walishane hizo cake siku ngapi zilipita ndio vifo vikaanza kutokea?
.
Na hiyo corona inachukua siku ngapi hadi kuanza kuonyesha dalili za awali, kali na hata mauti?

Nasubiri majibu
Corona inachukua siku ngapi kuonyesha dalili au inachukua siku ngapi hadi mauti inategemeana na umri wa mtu, hali ya magonjwa mengine aliyonayo mtu,kiwango cha kinga ya mtu, mind stability ya mtu(kiwango cha hofu ya mtu), e.t.c
 
Back
Top Bottom