Ukiangalia kila upande halafu hamna mtu anayekuona huwa unafanyaje?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,223
*mi huwa naiweka fresh Ch*pi yangu,au najikuna vizuri kwenye nyeti*

wewe je?
 
*mi huwa naiweka fresh Ch*pi yangu,au najikuna vizuri kwenye nyeti*

wewe je?

Mlevi iyo mbona wengine tunafanya hata kwenye presentation pale mbele kabisa!...afu nimeshaanza kukushtukia ww ni nani
 
Last edited by a moderator:
mimi huwa naaaaaaa....aaah! Erickb52 nikumbushe...nini tena?
 
Last edited by a moderator:
unaachia ushuzi.... Ndiyo jibu ulilokuwa unalitafuta!

Hivi kweli hata wanetu/wadogo zetu wanaobrowse humu......ndo wanatuona twaconcentrate kwenye mambo ya hivi kweli?? Soo sad wapenzi......atleast hata mtoa maada angeanzisha kwa view nyingine!
 
Hebu ushangae na wewe mpendwa!...

Mpenzi......mie nawasikitikia sana wenye mawazo kama hayo, for wanalemaza ubongo wao na kuongeza umasikini wa kufikiri kwa mtazamo chanya!! Anyways.....huu uhuru wa kuongea naona baadhi ya watu hawauthamini kabisa!
 
Mleta mada wewe mchana si ulikua mzima timamu ? Mida hii vipi tena?
Au ninijibu through ID yako ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom