Ukiangalia hizi picha utaogopa biashara ya magari inatisha yani

Bima za Tz watakusumbua hadi ulipwe cha moto utakiona. Biashara ni kama kamari sometimes. Unafanya tu. Ndio maana kampuni nyingi za mabasi zinakufaga tu.
Usichokijua ni kwamba

Kampuni kubwa zenye magari mengi zinalipwa haraka mno kwasababu Insurance wanaogopa kuharibu biashara yao.
Ukiwasumbua kampuni kama Shabiby mtu mwenye mabasi zaidi ya 40 watakuahama na kwenda kwingine
(Ukumbuke bima ni biashara)

Hivyo hufanya haraka sana kuwalipa ili ku keep wateja na kuwavutia wengine.
Wewe mwenye gari moja ndio utasumbuliwa.
Kwahivyo si kweli kwamba kampuni au taasisi zenye magari mengi huwa wanacheleweshwa kulipwa.
Hayo ni maneno ya moyo uliopondeka na kukata tamaa.
 
Usichokijua ni kwamba

Kampuni kubwa zenye magari mengi zinalipwa haraka mno kwasababu Insurance wanaogopa kuharibu biashara yao.
Ukiwasumbua kampuni kama Shabiby mtu mwenye mabasi saidi ya 40 watakuahama na kwenda kwingine
(Ukumbuke bima ni biashara)

Hivyo hufanya haraka sana kuwalipa ili ku keep wateja na kuwavutia wengine.
Wewe mwenye gari moja ndio utasumbuliwa.
Kwahivyo si kweli kwamba kampuni au taasisi zenye magari mengi huwa wanacheleweshwa kulipwa.
Hayo ni maneno ya moyo uliopondeka na kukata tamaa.
Moja ya hasara kubwa biashara ta mabasi ni pamoja na ajali kama hizi. Sasa kama kampuni inapata ajali mara kwa mara UNAFIKIRIA HATA MAKAMPUNI YA BIMA YATATAKA KUFANYA BIASHARA NA HIYO KAMPUNI? Unakuwa blacklisted throughout insurance industry. Wanaweza lipa mara moja au mbili. Baada ya hapo itakuhusu. Hata insurance companies hawataki hasara. Tena tunaongelea chombo cha mamia ya mamilioni.
 
Kwahivyo unataka kutuaminisha kuna mabasi hayana insurance? kama ndivyo
Tupe mfano mmoja.
Au
Unatuambia unaweza ukakatia bima gari yako halafu ikitokea ajali wakwambie hawakulipi na sababu za kutokulipa ni kwamba "unapata ajali mara kwa mara." Unatuambia hivyo?

Ile ni contract mkuu, its binded by the law.
Once you pay, you have the right.
Otherwise kuwe na matatizo mengine kama
Ulevi wa dereva, kuzidisha abiria nk
 
Kwahivyo unataka kutuaminisha kuna mabasi hayana insurance? kama ndivyo
Tupe mfano mmoja.
Au
Unatuambia unaweza ukakatia bima gari yako halafu ikitokea ajali wakwambie hawakulipi na sababu za kutokulipa ni kwamba "unapata ajali mara kwa mara." Unatuambia hivyo?

Ile ni contract mkuu, its bonded by the law.
Once you pay, you have the right.
Otherwise kuwe na matatizo mengine kama
Ulevi wa dereva, kuzidisha abiria nk
Insurance company inaruhusiwa kuto-renew bima yako muda ukiisha. Kuongeza installments kiasi kikubwa sana hadi ukashindwa au hata kukukataa kabisa usifanye nao business.
 
Kwahivyo unataka kutuaminisha kuna mabasi hayana insurance? kama ndivyo
Tupe mfano mmoja.
Au
Unatuambia unaweza ukakatia bima gari yako halafu ikitokea ajali wakwambie hawakulipi na sababu za kutokulipa ni kwamba "unapata ajali mara kwa mara." Unatuambia hivyo?

Ile ni contract mkuu, its bonded by the law.
Once you pay, you have the right.
Otherwise kuwe na matatizo mengine kama
Ulevi wa dereva, kuzidisha abiria nk
Kuna term pia za ajari sio madereva wako wanabamiza gari ovyo alaf udai kulipwa hyo haipo . ,
 
Wasiporenew nakwenda kwingine
Unapigwa blacklist kwa insurance industry nzima. Insurance company zina-share records. Na pia driving record ya kampuni au mtu ni public records. Yani itabidi ubadilishe jina la kampuni au uache kabisa. Ndio maana watu kama Sumry walikimbilia kilimo na kampuni nyingi za mabasi mengi yanakufa sana. Yani kampuni chache sana kama Abood au Dar express ndio wameweza wepo kwa business kea miaka mingi bila kampuni kufa au kuuzwa na jina kubadilika
 
Okay,
nimekupata vyema mkuu
 
Ni kweli makampuni yanakukataa au kukupa terms ngumu sana ikiwa na ajali za Mara kwa Mara
Hata bima ya afya makampuni yanatabia ya kuwatema wateja ikiwa wanaugua magonjwa Tata... kidney failure
 
Mwaka juzi nilinunua costa ikawa inapiga ruti za mkoa jirani. Aisee ilifika kipindi nikawa naogopa kupokea simu za ghafla za dreva. haaa haaa. Mwarabu alipojichanganya nikauza fasta
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom