Ukiangalia hizi picha utaogopa biashara ya magari inatisha yani

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,122
11,110
Hapa picha iliwekwa tarehe 30 mwezi wa 12 mwaka jana 2020 kwenye page ya Scania inaonyesha Kampuni ya Simba mtoto wakipokea basi zao mbili mpya.

Screenshot_20210111-143704_Instagram.jpg


Picha za chini yaani siku nne tu mbele basi moja hapo la tarama tayari limeshapiga mzinga yaani halina hata wiki barabarani duh

Screenshot_20210111-143645_Instagram.jpg

Screenshot_20210111-143642_Instagram.jpg
 
Hii biashara mtu anafanikiwa akiifanya kwa passion mkuu japo mambo katika hii business ni mengi sana hakuna biashara ambayo haina deficit. Cha umuhimu ni umakini mfano mmojawapo wajali madereva wako lakini usiwe mtu wa kucheka cheka nao unatanguliza mali yako mbele japo bima inakuwa imesimama mtaji ni watu mkuu wengine tulianza kiutani utani na hiace leo coaster zimezagaa na ndoto ni kufikia huku walipo hawa.Mungu ni mwema
 
Lazima litakua na comprehensive insurance ( bima kubwa ) chombo Kama hio huwezi iweka barabarani bila bima ya maana

Kua na bima kubwa apo sio inshu..hiyo bima yenyewe adi waje wakulipe ni miezi miwili adi sita..inamaana ili biashara iendelee ni lazima uchukue cash yako uingize kwenye matengenezo ili chuma irudi barabarabani mapema iwezekanavyo kipindi unaendelea na process za bima au kusubiria malipo..imagine how much..ipo hiyo ela ambayo unatakiwa uiingize kwa ajili ya kurepair..hivyo miradi mingine muhimu sana kuwepo..kutengeneza na kulipia bank repayments..
 
Back
Top Bottom