Ukiambiwa uwasafirishe wote uliowahi date nao.

Mi labda nipate kibali cha maandamano niandamane nao ndio ntaweza kuwasafirisha wote. Maana hata treni yenye behewa 30 haitawatosha..
 
Hivi treni ya Mwakyembe bado ipo?

Nimeuliza tu, haina uhusiano na mada!

- KANA -
 
Jamii imefikia kuwa mtu aliyedate na watu wachache au kuoa mtu huyuhuyu anaweza kuonekana mshamba. Hivyo, hapa wenzangu na mimi wengi wanaweza kudanganya waonekane nao wamo...kumbe hahaaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Back
Top Bottom