Ukiambiwa chagua hapa utachagua kijiko kipi?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,315
33,111
Chemsha bongo yangu ya leo, Utachagua kijiko kipi mdau kwa afya yako kati ya SUKARI iliyo kushoto au ASALI iliyo kulia?

1545748_571443842936196_124980720_n.jpg


Ninawapima watu zao
 

Attachments

  • Utachagua kijiko kipi mdau kwa afya yako kati ya SUKARI iliyo kushoto au ASALI iliyo kulia.jpg
    Utachagua kijiko kipi mdau kwa afya yako kati ya SUKARI iliyo kushoto au ASALI iliyo kulia.jpg
    26.9 KB · Views: 294
'Mmmmmh,asali ina sukari mkuu lakini sukari haina asali wee hapo unaona kipi bora asee...?'
 
Kaka mi nimepita tu kwa kuwa sihitaji kijiko kwa sasa, ila ingekuwa kuchagua kati ya sukari na asali basi ningechagua asali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom