Ukiambiwa chagua hapa utachagua kijiko kipi?

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,506
2,000
Chemsha bongo yangu ya leo, Utachagua kijiko kipi mdau kwa afya yako kati ya SUKARI iliyo kushoto au ASALI iliyo kulia?Ninawapima watu zao
 

Attachments

  • Utachagua kijiko kipi mdau kwa afya yako kati ya SUKARI iliyo kushoto au ASALI iliyo kulia.jpg
    File size
    55.2 KB
    Views
    293

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,075
2,000
'Mmmmmh,asali ina sukari mkuu lakini sukari haina asali wee hapo unaona kipi bora asee...?'
 

Magnificient

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,133
2,000
Kaka mi nimepita tu kwa kuwa sihitaji kijiko kwa sasa, ila ingekuwa kuchagua kati ya sukari na asali basi ningechagua asali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom