Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,057
- 11,104
Deleted
Hapo burudaanii.Nafsi inakua na amanii.Aki kublock kwenye social media badilisha user name muombe urafiki aki accept tu na wewe unamblok hapo tuliozoea jiji tunasema ngoma droo na tunaset mambo mengine yaende kwenye mtandao
Nalikua nasikiliza kale ka wimbo.
Nimependa umekuwa mkweli, ila kuacha ndo raqha bhaaana! Unamsikilizia vile anavyo type na kufuta kama dakika 5 baada ya kibuti, halafu unacheeeka unajiona mshindi.!!