Ukiachwa fujo za nini?

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,949
4,444
Leo katika pita pita zangu K/koo nikagongana na binti mmoja ambae nilikuwa nammega 3yrs ago nilimwacha baada ya kuona level tofauti lakini yeye alining'ang'ania sana twendelee. Leo hii uso kwa uso nae akanifanyia fujo na matusi juu jamani mtu ukiachwa au kuachika ni lazima umfanyie mwenzio vitimbi? Amenifedhuri kweli wapwazi
 
nashukuru umenielewa level ninayoizungumzia.....Fidel una warembo wangapi hapo mjini jamani?...inategemea ulimuachaje, labda ulimtapeli kimawazo na ahadi kemkem then unakuja kumwaga tu, ndio level hizo mstaarabu akimwagwa anajimwaga tu lyfe linaendelea....pole mwayego.
 
Hebu niPM contacts zake nikusaidie kutatua matatizo! Si yuko ki ElizaEliza? au ki MatronMatron? Haijalishi lakini, we nitumie tu!
 
Hehehehe Nyamayao bana si unajua target yangu ni 2012 naweka mwali ndani sasa ndo hivyo huyu ni wa level tofauti na yangu.... unajua mm ni mkweli na muwazi mno ndo maana warembo wengine dhamira inawasuta na kuamua kuyoyoma kusikojulikana, mm kama mrembo wa kumchumbia namwambia uwazi kama ni wa kumega vile vile nampa uwazi kuwa wewe nichune lakini sikuoi ng'o.
 
mpwa inaelekea ulimdanganya sana huyo dada na ahadi tele na yeye akawa na expections, sasa ulivomtosa aliumia sana na anakuchukia so she is tryn to empty the anger frm her heart...pole yake!!!
 
Hebu niPM contacts zake nikusaidie kutatua matatizo! Si yuko ki ElizaEliza? au ki MatronMatron? Haijalishi lakini, we nitumie tu!

Duh mpwa unapenda kuachwa kwa Sadara balaa....huyu sio portable huyo wide loaded huwezi ngoma hiyo ndo maana nilichapa mwendo.
 
Hahaha! Nadhani bht atakuwa amepata picha halisi hapa! Haya bana, tuendelee!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom