Ukiachana na mustakabali wa kikomo cha kuwa, ilikuwa ni lazima kijana wangu apone

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,754
Kwanini nasema hivyo?

Binadamu tumeumbiwa udhaifu wa mwili lakini pia tumeumbiwa afya.. Tumeumbiwa utoto, ujana utu uzima na hatimaye kifo.. Huu ndio mustakabali wetu ulio juu ya uwezo wetu kuzuia ama kukinga
Wengine hawaugui wanakufa tu
Wengine hawana udhaifu wowote wanakoma kuwa
Wengine wanapata shida kubwa lakini hatimaye wananusurika kutwaliwa kutoka maisha haya
Wengine hawafi lakini cha mtema kuni wanakiona
Halafu wengine ndio hivyo tena... Unaambiwa tu tayari ameshakuwa Hayati...

Kijana wangu kanusurika kuitwa marehemu... Kaugua sana lakini kapona.. Ilikuwa ni lazima APONE
Ana bima zote za afya
Ana wahudumu bora kabisa
Hapandi daladala wala mwendokasi
Hajichanganyi na wajuba
Hali kwa mama ntilie
Ana dereva wake
Ana wasaidizi wake
If fact list ni ndefu sana ya huduma anazopata kijana wangu..... Hivyo ilikuwa ni lazima apone

Je wako kapona? Usimuige tembo.... Kukata gogo... Lila na fila havichangami..

Jr
 
Kijana angekufa bado ingekuwa ni habari..tena labda habari nzuri.

Wanahabari tuendelee kuhabarishana ila Mbatia huwa anasema, 'Kwa kumtanguliza mama Tanzania mbele'
 
.
tapatalk_1589765561200.jpg

Jr
 
Natambua , mapigo ya ugonjwa huu, hatua kwa hatua, ugonjwa huu si wa kumkimbiza mgonjwa hosp.

Ugonjwa huu, siyo wa kumnyanyapaa mgonjwa, ugonjwa huu nyungu na lishe bora ni Muhimu sana.
 
Kwanini nasema hivyo?
Binadamu tumeumbiwa udhaifu wa mwili lakini pia tumeumbiwa afya.. Tumeumbiwa utoto, ujana utu uzima na hatimaye kifo.. Huu ndio mustakabali wetu ulio juu ya uwezo wetu kuzuia ama kukinga
Wengine hawaugui wanakufa tu
Wengine hawana udhaifu wowote wanakoma kuwa
Wengine wanapata shida kubwa lakini hatimaye wananusurika kutwaliwa kutoka maisha haya
Wengine hawafi lakini cha mtema kuni wanakiona
Halafu wengine ndio hivyo tena... Unaambiwa tu tayari ameshakuwa Hayati...

Kijana wangu kanusurika kuitwa marehemu... Kaugua sana lakini kapona.. Ilikuwa ni lazima APONE
Ana bima zote za afya
Ana wahudumu bora kabisa
Hapandi daladala wala mwendokasi
Hajichanganyi na wajuba
Hali kwa mama ntilie
Ana dereva wake
Ana wasaidizi wake
If fact list ni ndefu sana ya huduma anazopata kijana wangu..... Hivyo ilikuwa ni lazima apone

Je wako kapona? Usimuige tembo.... Kukata gogo... Lila na fila havichangami..

Jr
je wale wabunge walikuwa hawana bima? walikuwa wanapanda usafiri wa uma? Walikuwa na huduma zote kama mtoto wako lakini walikufa kifo hakichagui siku ikifika kinakuchukua
 
Natamani sana Mkuu siku uje utupe na sababu ya kweli iliyokufanya kukimbia makazi yako ya "kibiashara" yaliyoko Posta Jijini Dsm, na kukimbilia nyumbani ulikozaliwa "Msata" kipindi hiki ambacho wafanyakazi na wasaidizi wako wa Kampuni wakipambana dhidi ya janga la Corona.

'Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu'
 
Kwanini nasema hivyo?
Binadamu tumeumbiwa udhaifu wa mwili lakini pia tumeumbiwa afya.. Tumeumbiwa utoto, ujana utu uzima na hatimaye kifo.. Huu ndio mustakabali wetu ulio juu ya uwezo wetu kuzuia ama kukinga
Wengine hawaugui wanakufa tu
Wengine hawana udhaifu wowote wanakoma kuwa
Wengine wanapata shida kubwa lakini hatimaye wananusurika kutwaliwa kutoka maisha haya
Wengine hawafi lakini cha mtema kuni wanakiona
Halafu wengine ndio hivyo tena... Unaambiwa tu tayari ameshakuwa Hayati...

Kijana wangu kanusurika kuitwa marehemu... Kaugua sana lakini kapona.. Ilikuwa ni lazima APONE
Ana bima zote za afya
Ana wahudumu bora kabisa
Hapandi daladala wala mwendokasi
Hajichanganyi na wajuba
Hali kwa mama ntilie
Ana dereva wake
Ana wasaidizi wake
If fact list ni ndefu sana ya huduma anazopata kijana wangu..... Hivyo ilikuwa ni lazima apone

Je wako kapona? Usimuige tembo.... Kukata gogo... Lila na fila havichangami..

Jr
Kwamba muwamba ngozi huvutia upande wake.

MÊmENtO HoMO
 
Natamani sana Mkuu siku uje utupe na sababu ya kweli iliyokufanya kukimbia makazi yako ya "kibiashara" yaliyoko Posta Jijini Dsm, na kukimbilia nyumbani ulikozaliwa "Msata"

'Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu'
Go east go west home is best...!!!

Jr
 
je wale wabunge walikuwa hawana bima? walikuwa wanapanda usafiri wa uma? Walikuwa na huduma zote kama mtoto wako lakini walikufa kifo hakichagui siku ikifika kinakuchukua
Nyumbani kwangu sifugi wabunge

Jr
 
Hivi haujasema amepona nini eeeh? Ila kipindi hiki ukitangazia jf mtoto wako amepona maana yake ni Corona. Ila nimeelewa umeogopa kutamka ni corona kwa sababu hakuwahi kuumwa hivyo "ungemchuria" na badala yake angeumwa kweli.
mdomo hauna mfupa.. Ulimi uliteleza

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom