Ukiachana na mbolea ya ruzuku,ni jambo gani wizara ya KILIMO inafanya?

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,722
10,475
Ruvuma na mikoa ya nyanda za juu kusini ndio wanaifaidi hii wizara,MBOLEA YA RUZUKU. Pita kwa wakulima wa mikoa ningine uulize jukumu LA hii wizara kwao.
Ndio maana hutasikia waziri wa hii wizara akalalamikiwa na wananchi tofauti na wizara za nishati na elimu,ni kwa sababu mambo mengi wakulima wanamaliza wenyewe.

Cha ajabu utasikia inataka kuongezewa bajeti,kwa lipi hasa?
Au ni Mimi macho yangu hayaoni?
 
Back
Top Bottom