Ukiachana na kukesha JF ni kazi nyingine unafanya maana JF!

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,982
45,893
Wakuu ningependa kujua nyie wadau wenzangu mnaokeshaga JF 24\7 nje ya maisha ya hapa mnafanya nini!

Binafsi Mimi ni mkulima wa matikiti nalima huko nyanda zajuu kusini nayaleta dar!

Sasa wale wenzangu na Mimi ambao huwa tunaanzisha. Mada na kucoment za wengine kuanzia Monday to Sunday, huko mtaani huwa tunajihusisha na shughuli gani? I am just curious!
 
Mimi nakula humu humu kazi yangu kuuza dawa za kuacha vilevi
 
Attachments

  • 1485000461762.png
    1485000461762.png
    128.3 KB · Views: 26
Mimi nakula humu humu kazi yangu kuuza dawa za kuacha vilevi
Hii imepata kibali TFDA? Umesajiliwa na chama cha waganga wa Tiba za asili? In leseni ya biashara? Tin?

Sawa yako inatibu tatizo moja kwa moja au ninahitajika kununua tena baada ya muda?
 
Hayo matikiti unalima saa ngapi?
Nilitaka kumuuliza hivyo.
Ila kunamdau kamjibu. Tatizo ni bando la mawazo anatushangaa, hajui data haizimwagi 24/7 tumsamehe na ndiyo kazi yetu kumshauri.
Siunajua ninachokijua mimi yeye hakijui, na anachokijua yeye mimi sikijui. Ngoma diroooooooo.
Yaani. 1+1=11.
 
Wakuu ningependa kujua nyie wadau wenzangu mnaokeshaga JF 24\7 nje ya maisha ya hapa mnafanya nini!

Binafsi Mimi ni mkulima wa matikiti nalima huko nyanda zajuu kusini nayaleta dar!

Sasa wale wenzangu na Mimi ambao huwa tunaanzisha. Mada na kucoment za wengine kuanzia Monday to Sunday, huko mtaani huwa tunajihusisha na shughuli gani? I am just curious!
kumbe siku hizi matikiti yanalimwa lumumba?
Wenzio wa hapa sokoni sterio temeke wanalalamika hawapati wateja yanaoza tu
 
Mie nikiwa kwenye Pharmacy yangu Opposite na Mwananyama Hospital ndio huwa napata wasaa wa kutabaruk JF. Weekend kama leo nakuwa Kiwangwa huku Bwagamoyo kwny Mashamba na Mbuzi wangu, nimeanza kujaribu kufuga Sungura jiandaeni kunipa Zabuni ya kuwaletea kitoweo hicho

I retired from the Ministry of Health since 2011.
 
Vp ile Kazi ya buku 7 za Lumumba umeacha?! Au ni kipato cha ziada
Wewe unafanya kazi gani mkuu, maana sio kulalamika tu serikali itupatie chakula cha msaada wakati tumekaa tu hata hatujishughulishi! Mimi nishasema ni mkulima wa matikiti, wewe unafanya kazi gani mkuu!
 
Mie nikiwa kwenye Pharmacy yangu Opposite na Mwananyama Hospital ndio huwa napata wasaa wa kutabaruk JF. Weekend kama leo nakuwa Kiwangwa huku Bwagamoyo kwny Mashamba na Mbuzi wangu, nimeanza kujaribu kufuga Sungura jiandaeni kunipa Zabuni ya kuwaletea kitoweo hicho

I retired from the Ministry of Health since 2011.
Mkuu zamani nilikua nafuga hawa sili wadogo wadogo kama panya wale sijui nitawapata wapi hapa mjini!
 
Back
Top Bottom