kuna
rafiki yangu ana mwaka1kwenye ualimu ktk kijji cha mkoa wa mbali na
nyumbani,anapita mikoa6 had kufika huko,anang'ang'ania kuacha kazi,
sijui hata nimshauri vp ndugu zangu wanajf!sababu za kuacha kazi hyo ni
kama zftzo: , ana ujuz wa ufund umeme anaweza wiring ya majengo na
kutengeneza vifaa vya electronics kama pasi za umeme n.k kwa bahati
mbaya hana chet kinacho thbtisha ujuzi wake kotokana na ujuz huo
anahisi anaweza akajiajiri mtaani,sabbu nyingne mazingira halipo sio
rafiki kwa kujiendeleza kielimu kwani anania ya kujiendeleza,huko aliko
hakuna mwenye dini au kabila kama lake,anashindwa kufanya mradi wowote
hvyo yeye hutegemea mshahara ambao hautosh kufanya maendeleo sana sana
kula na usafiri.mila na tamaduni za huko anashindwa kuzivumilia zina
mnyima freedom,pia suala la uamisho ni gumu sana hadi uwe na sababu kama
ugonjwa wa kudumu,ndoa,yatima,mtegemewa na wazazi vinginevyo hupati
uhamisho.Kiukweli yuko serious,me nahs akiacha hyo kzi hatakuwa kapiga
teke bakuli la dhahabu... nampenda sana tangu udogoni shida yake shida
yangu,tafadhali,maoni yenu wana jf.ASENTEN SANA.