Ukiacha namna ya kutafuta series kupitia index/serial au torrent namna nyingine ya kupata tv series

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Ukiacha namna ya kutafuta series kupitia index/serial au torrent namna nyingine ya kupata tv series? maana nimekuwa nikitafuta tv series kwa kutumia google search index/serial au sometime episodes moja moja kupitia torrent. but kuna tv series kadhaa ambazo nimeshindwa kuzipata na ninazihitaji sana.
je kuna namna nyingine ya kuzipata tv series mfano kama hizi ?

1. evil genius
2. inside men
3. heist
4. the nine

hizi ni moja ya tv series kali sana nazitafuta bila mafanikio.
 
Umejaribu o2tvseries.com ??

Screenshot_20181129-191929.png

mkuu mbona unateseka download titanium apk, install search hiyo movie utaikuta

How to Install Titanium TV on Firestick/Fire TV & Android TV Box

kupitia hiyo link download then install hiyo app search jina la movie yako utaipata.
 
Elewa kuwa quality ya videos hizi unazo download kwenye simu ni ndogo kuliko zile nazohitaji ili kuangalizia kwanye Tv
Screenshot_20181130-035732.png

Huna uelewa mzuri kuhusu movies na utaratibu mzima wa kudownload ila ni mbishi.

ninachokuelekeza nina ufahamu nacho si siasa.

kuna 480p 720p 720p 1080p na zote zinatofautiana kiwango.

angalia huo mfano kwenye screenshot.
 
Tatizo la watoto wadogo wakifaham kitu hata staha wanakuwa hawana. Ni tatizo la lamen wengi. So i wont blame you. Ungeweza nyamaza tu ukaacha watu wazima wasingeshindwa kuwasiliana nami.

View attachment 950972

Mimi sio mtoto mdogo, una uthibitisho?kuwa na heshima.

Hujui kitu ila ni mbishi.
 
Kwa uandishi wako you prove that you are immature. Mtu mzima au msomi hawezi tumia lugha unayotumia. Ndo maana unadhihirisha ni mtoto mdogo. Tena kama sikosei umetoka kumaliza form four mwezi huu.

Back
Top Bottom