Ukiacha Mawaziri na Manaibu,ni Wabunge Wengine Kiutaratibu Hawamo Katika Kamati za Bunge?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Pokeeni Salamu Zangu,
Ukiacha Mawaziri Na Manaibu Mawaziri ni Wabunge Gani Wengine Sio Wajumbe au Wenyeviti wa Zile Kamati Zetu za Bunge?
Natumaini Nitapata Majibu ya Swali Langu, Hili Niweze Kuwapa Elimu ya Uraia Wana Tulya Wenzangu.
Karibuni Tule Matogo na Mutukulu
 
Back
Top Bottom