Ukiacha matumizi ya Mapambo, nini Kipo nyuma ya uthaman wa Dhahabu?

Huwa najiuliza ni kwanini maji ya Kilimanjaro yanauzwa bei ya ghali ili hali Masafi au Uhai yanauzwa kwa nusu bei?
 
Nadhani mmeshindwa kumuwelewa mtoa mada kabisa, tuchukulie mfano maji bila maji hipo wazi hakuna mmea utakaoweza kuishi na hivyo ukosefu wa chakula kwa binadamu, lakini maji yanadharisha umeme, maji hayo yanahitajika pia kwa ajili ya kupooza mashine, maji hayo yanahitajika kwenye ujenzi pia, kiasi cha kwamba pasipo na maji vitu vingi vitakwama na hivyo thamani kiasili ni kubwa, tuangalie dhahabau kwenye matumizi uliyotaja.......


Hili mtoa mada hakulihitaji maana kwa kiasi kikubwa ndio dhahabu inapojulikana matumizi yake.

Hapa ndipo mtoa mada anaposema thamani dhahabu ya kutengenezwa kwa maana hata kama haipo bado shughuli za kiuchumi zitaendelea tu, haina tofauti na pesa mnaweza mkawa na mapesa mengi lakini uzalishaji mdogo na hivyo pesa ikawa ni nothing.

bado tupo palepale matumizi kwenye hiyo field hayana umuhimu kiasi dhahabu ikikosekana basi watu wanaougua huo ugonjwa wanaweza wakafa, bado unaendelea kubaki palepale matumizi makubwa ni kwenye mapambo kuliko uthamani wa kwenye maisha.


Matumizi ya dhahabu kwenye maswala ya elektroniki si makubwa na siyo muhimu kiasi cha kuzuia vifaa vya kiilektroniki visitengenezwe, vifaa vya kiielektroniki vingi vinatengenezwa pasipo kuwepo na hiyo dhahabu na vifaa vikafanya kazi. dhahabu kutumika kwenye elektroniki ni kiwango kidogo na vifaa vingine vingi hakuna kabisa.



kiujumla vitu ambavyo umeonyesha vinaweza kufanyika pasipo uwepo wa dhahabu kwa hiyo thamani ni kama watu wameitetngeneza na kufikia makubaliano kwenye mambo mengine hasa hayo ya pesa
PUMBA
 
Usipoelewa dhana ya mwandishi utakimbilia kwenye kudhan umesoma na unaelewa kila kitu. Ndo shida kubwa ya binadam wa siku hizi. Wnakimbilia ktk walichokariri.

Hili jambo ni la kifalsafa zaidi na si kukimbilia kuweka mabandiko toka google au kutema ulichomezeshwa. Uthaman wa dhahab kwa kiasi kikubwa umeletwa na binadamu mwenyewe zaidi ya dhahab yenyewe.

Ndiyo maaana kwa mtu ambaye aliishi miaka 100 iliyopita pale mwadui yalipo madini ya dhahabu. Angeikuta dhahabu asingeona kama ni kitu cha thaman mpka alipokuja mzungu kwa sabab yeye alishafaham before uthaman wa dhahabu. Mfano kile kimondo kilichoanguka mboz jijin mbeya yale madin yangepewa uthaman flan leo hii ingekuwa issue sana kuyatafuta.

Na ikitokea mtu akafaham madin ya kile kimondo yanafaa kutengenezea dawa ya kansa ghafla kile kimondo kitaanza kulindwa n.k lakini kwa sasa kwa kuwa hayana thaman kipo tu pale kimejikalia.

Uzuri au uthaman wa kitu hutokana na mahitaji ya mtumiaji au mwenye uhitaji nacho.

Mnapojibu maswali kama haya usiyachukulie kiwepesi tu nenda deep down uangalie zaid na zaidi. Hayo matumizi ya dhahab na dhahab yenyewe kipi kilianza?utagundua ilianza dhahabu kwanza haya matumizi mengine yalikuja kuongezewa. Kabla ya hapo mengine hayakuwepo
Hivi kaka unapsema "Hili jambo ni la kifalsafa zaidi....."Una maanisha nini ? Hivi hakuna neno mbadala au bora zaidi kuliko hilo falsafa kwalo ungeliweka hapo ?
 
Si kweli kwamba watu wameifanya iwe na dhaman, bali ni sifa ya kubaki katika ubora wake katika mazingiro yoyote yale ndio imeifanya iwe hivyo.

Mfano mdogo wa ukitaka kujua kwanini, njia rahisi ni kutengeneza pete za aina mbalimbali halifu zivae uone, utakuja ngundua baada ya mda furani pete zingine zimepoteza ubora wake kwa kupoteza mvuto,mng'ao, zimeanza kulika lakini dhahabu bado iko vile vile.

Kwa hiyo watu hawaja kurupuka tu, hiyo wamegundua baada kuwa wametumia hizo material yaani madini kwa mda mrefu.

Rakini pia huyo muumbaji wa hayo madini kweli na yeye hajui vitu vya dhamani kweli hembu soma maandiko katika biblia pia imsema udhamani wake.
 
Wakishindwa kukuelewa na wewe ntasikitika sana na naweza fikia hatua ya kukata tamaa kuishi tanzania kabisa. Maaana umechambua kwa kina hasa na kwa unyambulifu mzuri. Bado utaona kuna watu wanakuja na majibu ya mkato tu na mepesi mepesi.pamoja na wewe kuwafafanulia hivi kwa upole na unyenyekevu.

Nitasikitika sana. Maana hapo mwanzo roho ilianza kuniuma kuwa wa wapi wenye ufaham wa taifa hili waoneshe uthaman huo wa kipekee wa kiasili wa dhahabu. Maana vijana wanakuja na majibu mepese sana. Mpaka kichwa kinauma.

Umedadavua vizuri nikupongeze. Kungekuwa na watu 100 tu JF wenye uelewa kama wako na wangu nakwambia tungeichukua hii nchi tuiongoze kuwa kama ulaya au marekani. Na kusingekuwa na matumizi ya viroba,bangi,madawa ya kulevya n.k mitaani.
pole sana kwa kutojua haya mambo...wanaofuatilia kwanni technolojia inakuwa kwa kias kikubwa huku akili ya mqanadamu inazid kupungua hakika huwez ukaelewa nyuma ya pazia..

sio mzuri snaa katika kuandika na sipo vema kuandika kwa kutumia smartphone simply bcoz am away from my PC but nitajaribu kuandika kwa kadri vidole vyangu vinavyokosea ..dont be bored by my wirds error ..
kwanza kbas napenda nikuambie kuwa technoloji hii tunayoitumia inatoka sehemu na inahusishwa na Alliens (extra terrestrial beings)
inasemekana hao alliens wanabelong to another world ,,i mean THEY HOST IN ANOTHER GALAXY galaxy ..sasa dunia yetubipo mbali na hizo galaxy wanazopatikanaa hao viumbe Alliens... unaambiwa kuna mikatabq ilifanyika zaman snaa baada ya binadamu wa kwanza kuishi katika dunia hii kugundua kuwa sisi binadamu we nothing rather than extraterestrial ones (Alliens) na ilibidi wafanye mikataba na hao viumbe ndo ikabidi mikataba moja wapo ni kuruhus breeding contact (kujamiaana) na hao alliens ili viumbe watakaopatikana wawe ni qwnye uwezo mkubwa wa akili ..
ndo zikatajwa sehemu ambazo zingeweza au zingeruhusu hiyo contact na hao alliens..allmost yalikuwa ni mataifa yq ulaya na america yaliyonufaika na hiyo contact ndo hapo badae miaka ya 1700 ndo wakaanza kuzaliwa qatu kama akina Nicolas tesla,gallileo gallilei,isac newton,leonardo da vinci,michael faraday ,pamoja na ampere..hiyo contact ilihusisha nchi kadhaaa na ni siri kubwa kujua hilo....
ila ujerumani lilikuwa taifa la kwanza kupata hiyo Alliens contact zikafuatia na Israel pamoja na mji wa Armstadum ( Netherland) na badae mataifa mengine kama U.S america .
hiyp treaty ilifanyika kwa siri japo waliokuwa na uwezo wa kujua hayo walikuwa ni wale wenye upeo wa juu hasa kujua kutumia Third eye of the horus ndo walikuwa wanawwza kuyaona haya na contact hiyo imewekwa na kutunzwa kwa siri kubwa snaa....
kutokana na contact hiyo ndo zikapatikana hizo 13 secret families zinazotawala dunia na ukiangalia kweli ndiko ma genuis wa ulimwengu wanatokea huko..
inasemekana kuwa vatcan ndo sehemu pekee hizo treaties zilifanyika na ndo siri zote zipo pale..inasemekana kuwa Space station zote zipo under vatcan control na hasa mambo yote ya space soma kuhusu vatcan and GALACTIC CONNECTION UTAJUA KWANINI VATCAN INACONTROL TECHNOLOGY YA DUNIA HII.

Sasa vatcan ilinufaika na ujuzi huo na ikaanzisha elimu ya siri juu ya unajua na kuwasomesha baadhi ya watu ili mwanadamu na vatcan nzima ipate kujua makao sahihi ya hao Alliens ..
so ikitokea mwanadamu anhitaj advanced technolojia huwa ninkitendo cha kukutana na hao alliens badae wanatoe namna ya kufanya na badae mwanadamu anapata skills za kuunder vitu..
kwa mfano wale waliobahatika kuingia kwenye migodi ya dhahabu underground hakika watakuwa na ushahi juu ya mambo yaliyoko huko chini mpka malighafi zinapatikana..
fuatilia underground ya migodi mikubwa hakika utasema kweli siai binadamu we are nothing rather than Alliens..hata kihansi hydroelectric power station ilijengwa kwa miaka 6 chini ya wataliano daaaah..ni hatareee utashangazwa..yani umeme unafuliwa underground chini kbasa kwa umbali wa tonnel ya km 3 ndo unapata hiyo mitambo na kule kuna makazi ya watu ...only alliens support these constructions kwab wana upeo mkubwa snaa ...

sasa swali linakuja nini matumizi ya dhahabu..??

inasemekana kwamba kila galaxy ina kitu chake kinachoitwa BLACK HOLE
Black hole ni muhimu snaa kulinda galaxy moja hadi nyingine kwani huzuia interaction kati ya galaxyoja had galaxy nyingine...kila galaxy ina mfumo wake na ina sayari zake na nyota zake sasa ikitokea sayari moja imehama njia na kuingia njia nyingine hiyo sayari humezwa na BLACK HOLE ili kuzuia effect kwa sayar zingine..ndo mana ukisimama usiku ukatazama juu gafla unaweza ona kimondo kinakuja kwa kas kudondoka duniani gafla kinapotea hewan..sasa kumbe huwa kinavitwa na kuingia kwenye black hole..

sasa inasemekana kwamb galxy zingine zina impurities nyingi snaa pamoja na uchafu wa ges chafu nying snaa kama Mercury,asernic,mustard gas pamoja na kemikali za sumu ambazo zikigusana na mwili wa kiumbe yoyote husababisha Genomic sequence mutation na huweza kusababisha mutation kubwa sana ukajikuta umekuwa jitu jingine kabsa..( fuatilia movie za Marvel hasa movie za X-MEN utajua mazingira waliyochezesha utajua kbsa kuwa kuna watu wanaujua ukweli juu ya dunia hii na technoloji yake bit those people keep the secret (hidden) ndo mqna ya X-men..
kwa hiyp ikitokea mtu unataka ufike kwenye galaxy za mbali ni lazima ukabiliane na hiyo emmission ya dabgerous gas and kemicals ambazo husababisha mutation
.sasa kumbe kitu ambacho huzuia hali hiyo ni madini ya Gold( dhahabu) kwa hiyo gold huneutralize ile reaction na kufanya vyombe vile vinavypkwenda anotheelr galaxy kutopata effect juu ya hizo kemikali ndo mana majitu yanayopatikana kule sio kama binadamu wa kawaida kwa sababu ya kuadapt hizo mutation ila milky way galaxy ambapo ndipo mfumo wetu wa dunia na jua unapatikana ndo huzuia hizo mustard gas pamoja na heavy chemicala kuingia kwenye milky way galaxy na kutufanye tuwe huru ..( ndo mana watu undergo evolution)
manake milky way galaxy ni protective...

ili uwezo kupita across galaxy zingine inahitaji uwe na vifaaa vilivyotengenezwa kwa mchanganyiko wa gold na baadhi ya semi conductors kama Germanium na SILCON ..tena has silcon...
kwa hiyo gold huzuia hiyo reaction kati ya another galaxy heavy partcles na humani DNA la sivyo mwanadamu anayepatwa na hiyo kitu hugeuka gafla na kuwa zombi kubwa kama nyumba ..

so ndo mana Rochkids among 13 high and powerful families in the world wanajihusicha na kujimba dhahabu ulimwenguni kote ili kuendelea kuweka stock kubwa pale switzeeland ambapo ndobhuyeyushwa na ile pure hupelekwa underground MILITARY UNDERGROUND BASEA U.S. hasa maeneo ya Arizona ,AREA 51 pamona na sehemu zingine wanakotengeneza vifaaa vinavyokimbia kwa kasi kubwa acrossing galaxy za mbali kwani speed kubwa inahitajika...

so habari za kusema kuwa dhahabubhutumika sijui kutengenezea simu,pete,cheni na mikufu sijui ni matumizi madgo sana almost masalia ya pure gold ndo hutengeneza hivyo vitu..ndo mana utajiuliza iweje uchimbaji wa dhahabu unaotumia mabilioni ya pesa kwa ajili ya kutengeneza mikufu..??
the truth is hidden ..

kwa hiyo kazi kubwa ni hiyo ya kutebgenezea Sourcerers ( wanaofuatila vifaa vitumikavyo na alliens kuruka ndo vinaitwa sourcerers najua akina THE BOLD, MSHANA JR na wwngine wanaofuatilia Mambo haya ya siri nzito ya dunia watakuwa sambamba na mimi..
angalia Alliens launch kwa mfano ROSWEL UTAGUNDUA KUWA VILE VIFAAA NI ZAIDI YA NDEGE HASA SPEED YAKE NI KUBWA SANA olmost speed ya lait ..inasemekana lakini..
kwa hiyo Rochkids kupitia Barrick wanasimamia migodi yote duniani inayokadiliwa kufikia zaidi ya 300 na dhahabu yote hukusanywa kwa siri pale switzeeland kisa kupekwa vatcan stock kwa ajili ya hiyo kitu...
so without gold hakika wanasayansi wote wanaolaunch on space wangekuwa tayar wanpata Mutation ..so gold ni ant DNA reaction with heavy particlea found across other galaxies..

HUO NDO MCHANGO WANGU KAMA HUTASOMA VIZUR HAND WRITTING NIWIE RADHI NATUMIA SMARTPHONE .sijatembea na my Portable Computer (PC)

source::: DEEP WEB HIDDEN WIKI WITH HIDDEN SECRET TRUTH..



source :
 
Jet engines,rocket engines waya zake zote zinatengenezwa na dhahabu,ndomana miradi ya kurusha vyombo angani ni garama sana...nchi kama tanzania hatuwezi kupeleka satelite angani mpaka labda miaka 1000 ijayo
Hebu toa maelezo ya kutosha, Tanzania kutokupeleka chombo chochote huko angani kuna uhusiano gani na Dhahabu
 
Wazo na swali lenye mantiki kubwa. Ninachoweza kuongeza ni kwamba binadamu tunatumia sehemu kibwa ya uchumi/mali (fedha) kwa vitu vinavyombulisha utajiri tulio nao badala ya afya zetu. Vitu hivyo tunavipa thamani kubwa kuliko vinavyoongeza afya au uchumi.

Kwa mfano kilo ya nyama ni ghali kuliko ya mboga za majani. Glass ya mvinyo ni ghali kuliko ya maji. Lakini athari ya nyama au mvinyo kwa afya ya binadamu ni kubwa maradufu.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
HAKI ELIMU umenikumbusha kamsemo
 
Nakubaliana na wewe...hasa upatikanaji wake...lakini pia kwenye electronics...dhahabu inatumika kwa sababu ni excellent conductor
sahihi kabisa. ndiyo ilitakiwa itundikwe kwenye milingoti ya tanesco kusafirisha umeme lakini sasa hawa binadamu walivyo waroho wangepanda hukohuko juu kwenye maguzo ya gridi ya taifa kukata nyaya. tanesco wakaona isiwe taabu wakaweka waya za shaba.
 
Kwa upande wangu, mahindi, Michele maharage na vyakula vingine vina thamani kuliko dhahabu. Uthamani wa thahabu sio wamoja kwa moja kama ilivyo nafaka.

Ni sisi binadam tumeamua kuipa dhahabu thamani. Lakini ki ukweli kuna mazingira bora upewe mkate kuliko dhahabu.
 
Mkuu ni gold au langi ya gold.
Ndugu ni kiasi kidogo sana cha gold ambacho hupakazwa kwa surface ya juu ili kuboresha upitivu umeme katika electronic circuits hasa za computer na circuit nyinginezo ambazo mabadiliko ya haraka sana ya upitivu wa umeme yanahitajika.
 
Mwenyewe nimewahi kuuliza hili swali kwa watu wengi ila majibu yake ni kubashili tu...gharama wanayotumia ya mitambo migodini hua haiingii akilini na kusema dhahabu inatengeneza vidani tu.ni ajabu kweli
 
Back
Top Bottom