Ukiacha kazi mwenyewe hupewi mafao?

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,251
Kama kichwa cha habari hapo juu,

Afisa kasoma barua yangu kasema wanaoacha kazi wenyewe hawapewi mafao. watalipwa kwa mjibu wa sheria 55/60 mi saivi 30.

Pesa yenyewe ni 1.5M, jamani hili sahihi.
 
w
Kama kichwa cha habari hapo juu, afisa kasoma barua yangu kasema wanaocha Kazi wenyewe hawapewi mafao . watalipwa kwa Mjibu wa sheria 55/60 mi saivi 30. kudadadekii! Pesa yenyewe ni1.5M..jamani hili sahihi.
we utakua team lowassa bila shaka...sasa hapo ndo umeandika nn
 
Ndugu yangu hilo lisikupe shida kama unahitaji hiyo pesa yako nenda katafute kazi halafu ukishalipwa miezi miwili piga soo then ufukuzwe kazi na utapata mafao yako. sawa? wenzako wengi wamefanya hivo.
 
ubongokid

Mkuu, heshima yako.
Huu ushauri imebidi nicheke kwanza.

Haaaa haaa haaa haaa teeeh teeeh teeeeh.

Akipiga "so mbaya" segerea watamkaribisha.
 
Kama kichwa cha habari hapo juu,

Afisa kasoma barua yangu kasema wanaoacha kazi wenyewe hawapewi mafao. watalipwa kwa mjibu wa sheria 55/60 mi saivi 30.

Pesa yenyewe ni 1.5M, jamani hili sahihi.
Duu mkuu ni mfuko gani huo? Subiri mkuu wa kaya kasema atavunja hiyo mifuko mingine ibaki miwili sasa siajajua utaratibu itakuaje kwa mifuko itakayofutwa.
 
Back
Top Bottom