UKEREWE: Wenyeviti CHADEMA wampongeza Magufuli

swissme

JF-Expert Member
Aug 15, 2013
13,660
2,000
Wanafiki wachache na mawakala wa mafisadi tu ndio wanachukia utawala wa Magufuli.
Wenyeviti wa mitaa kwa tiketi ya CHADEMA jimboni Ukerewe wamempongeza Rais Magufuli kwa uongozi bora. Wamemuomba Prof. Muhongo awafikishie salamu hizo.

Source: gazeti la uhuru
kama kafanya mazuri laxima apongezwe lakini akiendelea kula pesa za rambirambi za wahanga na kutowapa Watanzania haki uhuru wa habari na kujieleza lazima tumpushi.


swissme
 
  • Thanks
Reactions: Gut

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
34,502
2,000
Ni jambo nzuri kumpongeza mtu anapofanya mazuri na kumkosoa anapokosea.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom