Ukeketwaji.

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Habari zenu waungwana? Naomba msaada wenu kwa wenye mautaalamu ktk hili...
Je,ni kwa vp nitajua kuwa demu amekeketwa,kwa kuangalia kitu gani hasa na nini madhara yake ktk maisha ya mahusiano na mapenzi?
 
Unatafuta aliyekeketwa? Bandika tangazo Love Connect ili usipate tatizo la kuchunguza na kupekenyua. Life Made Simple, thanks to Technology and JF Founders!
 
Mbona mnakuwa wakali hamjibu swali la mtoa mada.au ni Wahanga?
wewe mkague kama kine mb (kiutamu) chake kimekatwa au kuondolewa kabsa,wengine wanaondoa mpaka labia. wanawake wa aina hii wana complication nyingi sana za uzazi na suala zima la mihemko ya kusex.ndio maana kuna taasisi kibao zinapambana na hili janga.
 
Back
Top Bottom