Shilinde Wa Nzega
Member
- Dec 19, 2012
- 12
- 3
Wiki hii yote nimekuwa Tarime pamoja na Naibu waaziri MJJW pamoja naibu wa Mambo ya Ndani! Kwa kweli sheria bado inachezewa! Watoto wa kike bado wanakeketwa bila uficho. Hili bado ni tatizo
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums