UKAWA yasambaratika katika uchaguzi wa udiwani Morogoro

Uchaguzi mkuu ulikuwa na maelfu ya kata haukusambaratika leo usambaratishwe na kata moja.

watu ni wanafiki na wanashindwa tu kusema ukweli , ukawa haijawahi kuwepo ki vitendo , ni unafiki tu wa viongozi wa chadema ili wapate ngazi ya kupata kicki, kuanzia kule segera kwa mtatiro,
 
Kwa hiyo ukisikia hivyo ndiyo UKAWA imesambaratika asanteni kwa kujifariji.
Ukawa haiwezi kufa si mliunda kwa ajili ya katiba?, sisi tunazungumzia ushirikiano kwenye uchaguzi, huo ndio umesambaratika
 
Back
Top Bottom