UKAWA yahujumiwa na CCM Mbeya

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
30,381
2,000
Umoja wetu umeendelea kuhujumiwa,jana polisi mkoani Mbeya wametunyima kibali cha kufanya maandamano mkoani hapa.Cha kushangaza zaidi afisa utamaduni wa jiji la Mbeya kwa maagizo ya CCM,amekataa kutoa kibali cha gari la M4C kutoa matangazo ya ujio wa Prof.Lipumba.MY TAKE:CCM wana Laana ya Demokrasia
 

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
887
0
Viongozi wa vyama vinavyo unda ukawa mkoa mbeya wamelalamika kuhujumiwa kwa kunyimwa vibali vya mikutano ya ukawa mbeya,akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa chadema mbeya amesema kuwa wamekataliwa vibali na police mbeya japokua ufafanuzi umetolewa na police mbeya
 

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
kajipange upya habari yako haieleweki.kibali polisi hawaja wapa,sasa afisa utamaduni atoe gari la nn,halafu tangu lini chadema wakapokea maagizo ya intalaamwe+janjaweed
 

Rich Pol

JF-Expert Member
Oct 11, 2013
7,842
2,000
Viongozi wa vyama vinavyo unda ukawa mkoa mbeya wamelalamika kuhujumiwa kwa kunyimwa vibali vya mikutano ya ukawa mbeya,akizungumza na waandishi wa habari mwenyekiti wa chadema mbeya amesema kuwa wamekataliwa vibali na police mbeya japokua ufafanuzi umetolewa na police mbeya

Chama cha ukawa hakitambuliki ki katiba ni sawa tu.
 

manning

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
3,524
1,250
Jitihada haiondoi kudura acha watekeleze waraka wao namba tatu lakini watani zangu wajue mwaka 2015 ni mwaka mbaya saaana kwao. CCM JIANDAENI KISAIKOLOJIA KUACHIA NCHI.
 

Mdudu halisi

JF-Expert Member
May 7, 2014
2,735
2,000
Kwanini mtake kuandamana badala ya kumsubiri Prof kwenye uwanja wa mkutano?...Maandamano yenu hayana tija.
 

kamanda wa kamanda

Senior Member
Oct 12, 2013
191
225
ImageUploadedByJamiiForums1400734621.848307.jpg

Leo ndio Leo Jijini Mbeya
 

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
18,939
2,000
Umoja wetu umeendelea kuhujumiwa,jana polisi mkoani Mbeya wametunyima kibali cha kufanya maandamano mkoani hapa.Cha kushangaza zaidi afisa utamaduni wa jiji la Mbeya kwa maagizo ya CCM,amekataa kutoa kibali cha gari la M4C kutoa matangazo ya ujio wa Prof.Lipumba.MY TAKE:CCM wana Laana ya Demokrasia
Kafanyeni mandamano rombo,tengeru na hai msifanyie fujo kwenye mikoa yetu nendeni kwenu hukohuko.
 

Gambabovu

JF-Expert Member
May 17, 2014
296
0
Crazy!uliambiwa ukawa ni chama cha siasa?hao ni watetezi wa katiba ya wananchi......acha matusi tumia utashi na busara unapokumbana na hoja zilizokuzidi.
 

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,909
2,000
NI ZIPI KANUNI ZA MSINGI ZA MAKUBALIANO YA UKAWA??
Mwanakijiji; nini kanuni za msingi za makubaliano,ushirikiano wa vyama vinavyounda UKAWA?
Katika pita pita zangu huku na kule nimekutana na maswali ya mwandishi bobezi juu ya masuala ya kisiasa kuhusu lengo,misingi na utendaji wa UKAWA. nisiwe msemaji maswali yenyewe haya hapa.namnukuu.
By Mzee Mwanakijiji
"Ni nini kanuni za msingi za makubaliano na ushirikiano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)?
Ni haja ya kuwa na Serikali ya Tanganyika na ile ya Zanzibar ndani ya Muungano?
Ni kutaka kuiondoa CCM madarakani?
Ni kutaka kuiongoza Tanzania? Ni kupigania Serikali Tatu?
Je, vyama hivi vinakubaliana kwa kiasi gani katika sera zao nyingine?
Uongozi wa UKAWA na utendaji wake unaongozwa na makubaliano gani?
Binafsi sikumbuki kuona viongozi hawa wakikaa chini kuwekeana saini ya makubaliano ya ushirikiano (Cooperation Accord or Memorandum of Understanding).
Ni sahihi kushirikiana bila ya makubaliano ya ushirikiano yenye kuvifunga vyama vyote sawa?"
Tujadili bila jazba kwa mustakabali wa nchi yetu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom