Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Baada ya kushindwa Uchaguzi Mkuu 2015 kile kilichoitwa UKAWA kimesambaratika rasmi baada ya washirika waliounda umoja huo kuachana na Agenda ya kudai Katiba.
Unakurupuka na kuja kuleta Udaku?Sasa hapa Unataka kijadiliwe Nini?Baada ya kushindwa Uchaguzi Mkuu 2015 kile kilichoitwa UKAWA kimesambaratika rasmi baada ya washirika waliounda umoja huo kuachana na Agenda ya kudai Katiba.
Vijana wa Lumumba wanaweweseka kweli.
madai ya katiba ilikua siasa tu. fedha nyingi imepotea kwa madai ya ovyo ya chadema kuhusu katiba halafu wakaingia mitini. wanajidai eti katiba ndio inawanyima ushindiBaada ya kushindwa Uchaguzi Mkuu 2015 kile kilichoitwa UKAWA kimesambaratika rasmi baada ya washirika waliounda umoja huo kuachana na Agenda ya kudai Katiba.
Asante sana mkuuUkawa ipo. Na itaendelea kuwepo. mpaka mwisho!
Mkuu,vipi uchaguzi wa Meya jana hawakushirikiana?Baada ya kushindwa Uchaguzi Mkuu 2015 kile kilichoitwa UKAWA kimesambaratika rasmi baada ya washirika waliounda umoja huo kuachana na Agenda ya kudai Katiba.
Baada ya kushindwa Uchaguzi Mkuu 2015 kile kilichoitwa UKAWA kimesambaratika rasmi baada ya washirika waliounda umoja huo kuachana na Agenda ya kudai Katiba.[/QUOTE
da kumbe kunawatu kama hawa!
Ukawa ilishakufa 25 October kilichobaki ni UkiwaMleta mada alikuwa usingizini ikiota mchana kweupe, akizinduka lazima kichwa kitamuuma sana!