YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
UKAWA mnaongeea sana.Tunataka problems solvers not creators or problems talkers.
Kama kuna tatizo la madawati mtoe ufumbuzi wa madawati kupatikana sio muomgelee tatizo.Kama wanafunzi wa elimu ya Juu hawana mikopo tunataka mutafute ufumbuzi mikopo ipatikane sio muongelee tatizo la ukosefu wa mikopo elimu ya juu.
Pia hatutaki problems creators mara operation UKUTA,mara sijui operation KATA FUNUA wanainchi tunataka ufumbuzi wa matatizo halisia yenye majibu onekana waziwazi.Msiwe problems creators kuweni problems solvers hapo mtakuwa mnanifurahisha hata mimi kama mlipa kodi ambayo kodi yangu inatumika kama ruzuku na kuwafanya mtembee mijini na vijijini kwa mbwemmbwe.