Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Baraza la madiwani la Jiji la Dar Es Salaam limepiga kura 7 dhidi ya 6 kupitisha uamuzi kwamba Fedha za kipato zilizotokana na kuuzwa kwa UDA (tzs Bilioni 5) zisitumiwe kwa kazi yoyote ile mpaka hapo Baraza hilo litakapopata nyaraka zinazoonesha kuwa uamuzi wake hautakuwa na athari kwa walipa kodi wa Dar Es Salaam. Ndiyo kusema, siku Baraza likijiridhisha litafanya uamuzi wa kutumia fedha hizo.
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG, uuzaji wa UDA uligubikwa na rushwa na ufisadi na yapo mambo PENDING ambayo yasipochunguzwa kwa umakini yanaweza kuleta kashfa kubwa hapo mbeleni.
Nitumie fursa hii kuwapongeza Madiwani wote wa UKAWA walioshiriki kufanya uamuzi huu.
[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG].