UKAWA, watch out!, Siyo kila jiwe walilolikataa Waashi Linafaa kuwa jiwe kuu la Pembeni....

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Lipo kundi kubwa la vijana waliohamia kutoka Friends of Lowassa Movements ,wanapigana kufa kupona dhidi ya kiumbe yoyote anayemuinukia Mr Gray hair, awe ndani au nje ya UKAWA. Somebody calls them-chadema academia ( former friends of lowassa & 4u movements, Ukweli ni kuwa fupa lililomshinda fisi...dog haliwezi.
Nawapa mwezi mmoja tu, mtaona msambaratiko kama ule wa iliyokuwa Soviet union-USSR

' Magufuli!!! come on! MUNGU mbele !! shetani NYUMA !!
 
Back
Top Bottom