YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,992
Wabunge wa UKAWA kila wakisimama hawajikiti kuongelea bajeti iliyo mbele yao iliyoletwa na waziri husika ya 2016/17.Huoni wakichambua labda kipengele fulani cha bajeti kilichopo na kueleza na kukichambua.
Naona wanaongea porojo tu.Akipewa nafasi mbunge wa UKAWA ataongelea maswala ya bunge kuwa LIVE,ataongelea mambo yaliyofanyika miaka iliyopita,na mikashfa ya miaka nenda rudi huko nyuma na baadaye atamalizia kusema Nashukuru Spika kwa kunipa nafasi.
Mbunge pekee niliyemwona yuko vizuri kutoka upinzani kujikita kwenye Bajeti ni ZITTO KABWE tu.Sijaona mbunge wa upinzani mwingine toka UKAWA aliyeongelea bajeti hii iliyopo akachambua vizuri. Wote wanaongea kama wako vijiweni.
Niseme wazi wananchi waliochagua wabunge wa UKAWA walipoteza kura zao bure kabisa.
Wajikite kujadili bajeti ya 2016/17 waondoe porojo