UKAWA wapo upande wa kuume, CCM upande wa kushoto. Hongera UKAWA!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
UKAWA wapo upande wa "kuume" unaoungwa mkono na wanasheria nguli. Wanaheshimu maoni ya wananchi kama yalivyoletwa na tume ya kuandaa katiba.Hali kadhalika wanaunga mkono rasimu iliyosainiwa na raisi ingawaje alikuja kuwa wa kwanza kuipinga. Nafurahishwa na kuona kwamba wanachotetea waliokuwa wanatume na wote wenye akili timamu ndicho kinachotetewa na UKAWA! CCM wao wamekaa mkono wa kushoto(jehanam) ambao unapinga maoni ya wananchi ambao kwao wanajidai kuwa sikivu! Wanampinga hata raisi wao aliewaambia "suala la serikali tatu haliepukiki,hivyo wajiandae kisaikoloji kuzipokea" .Inasikitisha sana sana kuona CCM Wakifanya usanii wa namna hii na pengine hata kutumia hela za wavuja jasho kurubuni watu mbalimbali wasiokuwa na nia njema kuliweka taifa hili katika msingi mzuri wa kimaadili.HONGERENI UKAWA, MUNGU AWATANGULIE!
 
Unajua inabidi waangalie na kujiuliza ni kwa nini wao tu ndo wanapinga kitu ambacho kinakubalika na aina nyingi ya watu, waandishi wa vitabu, asasi za kijamii, wana sheria, viongozi wa dini nk..!? ila kwa jinsi wanavyojazana ujinga sijaona mtu wa kushtkia wanacho kifanya
 
Mandishi kibao hakuna hoja chukua hii kwanza ukalale.
 
mwaka wa kufa nyani!...hata ukiwa na elimu gani, ukiwa mwana ccm ni sawa na zombi; hawana uwezo wa kufikiri, hawajui hisia za wananchi wao chama chao na ufisadi ndio kipaumbele
 
kawaida ukitekwa na ibilisi huwezi kuuna ukweli na kuamua njia iliyo sahihi!ndicho kilichowakumba hawa ccm!wamepigwa upofu tayari.
 
Utoto unakutesa kunywa uji cheza na watoto wenzako tu hujui kitu.

nadhani kwenye ile ilani ya chama cha kijani kuna mahali panasema "ukitaka kuwa mwanachama,jitoe akili zako zote na daima jibu hoja nzito kwa hoja nyepesi". Hivyo sishangai hata kidogo.
 
mwaka wa kufa nyani!...hata ukiwa na elimu gani, ukiwa mwana ccm ni sawa na zombi; hawana uwezo wa kufikiri, hawajui hisia za wananchi wao chama chao na ufisadi ndio kipaumbele

hawa wamelaaniwa tayari.
 
Mandishi kibao hakuna hoja chukua hii kwanza ukalale.

Hii thread ya ngapi una reply the same comment hapo ndo akili zako zimeishia? jaribu kuwa kuihurumia akili ipe hata sekunde moja ya kufikiria sio una copy na paste comment ile ile. Ebu tumia vizuri buku 7 unazopewa kufikiri cha kujibu
 
nadhani kwenye ile ilani ya chama cha kijani kuna mahali panasema "ukitaka kuwa mwanachama,jitoe akili zako zote na daima jibu hoja nzito kwa hoja nyepesi". Hivyo sishangai hata kidogo.

Kumbe Dr Slaa alipokuwa CCM alijitoa kabisa ufahamu?
 
Ukiwa ccm lazima ujitoe uelewa au ufahamu! Maoni ya wananchi yanapingwa na ccm kwa maslahi binafsi na sio ya umma kamwe! Mtu yeyote ambaye yuko huru hawezi kuunga mkono upuuzi wa ccm kuhusu msimamo wao juu ya katiba mpya wa kuunga mkono muundo wa serikali 2 kinyume na maoni ya watanzania walio wengi!
 
alijitambua ndo akaona bora kuwa nje unakokuwa na fikra huru kuliko ndani mlikofanywa mandondocha!

Si ndio huyu Slaa anayezunguka nchi nzima kujenga chuki kwa wananchi kupitia kikundi haramu cha UKAWA au ni mwingine?
 
Back
Top Bottom