UKAWA wanyimwa kibali cha kufanya mkutano wao mapema leo Kigoma.

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,302
Haijajulikana nini sababu ila ukawa wamezuiwa kufanya mkutano wao leo hapa kigoma na jeshi la Polisi.

Unafikiri ni sahihi wao kuzuiwa kufanya mkutano wao?
 
Policcm wanaacha kupambana na majambazi wanapambana na watetezi wa wanyonge ili hali hata wenyewe ni wanyonge huu sijui ni utumwa au nini?
 
Haijajulikana nini sababu ila ukawa wamezuiwa kufanya mkutano wao leo hapa kigoma na jeshi la Polisi.

Unafikiri ni sahihi wao kuzuiwa kufanya mkutano wao?
Uchunguzi wa kipolisi ulionesha kuwa wangeweza kubondwa na mawe make hawatakiwi kabisa kule kigoma badala yake anatakiwa zitto siyo ukawa wala chama cha kilaghai cha chadema.
 
Kwanza bora wazuiliwe tu wanachafua mazingira kwa makelele yao watoto hawalali kwa kupigiwa makelele na ukawa.

Bora hata yangekuwa makelele hivi hivi, ni makelele yanayoambatana na matusi, kashfa na kejeli za kila aina ambazo kimsingi hata hazihusiani na ujenzi wa katiba mpya.
 
Bora hata yangekuwa makelele hivi hivi, ni makelele yanayoambatana na matusi, kashfa na kejeli za kila aina ambazo kimsingi hata hazihusiani na ujenzi wa katiba mpya.

Yaani wamezidi unadhani wao ndo nchi. Kelele zao kila kona tumechoka nao.
 
Watawanyima na Sehemu nyengine, ni mwanzo tu huo wa kuwazuilia Mikutano, Mbona ccm wanafanya bila ya kuzuiwa na Polisi?
Tunatarajia mambo haya yatafika mwisho kwa uwezo wa Mungu.
 
Polisi Kigoma, kutafuta cheo kwa staili hiyo, ni mbinu ya kizamani wakati wa Mahita, siku hizi haifanyi kazi, imepitwa na wakati. Wenzenu Musoma na Mbeya wanaruhusu mpaka maandamano ya UKAWA, ninyi huko magazeti hayafiki nini????? Shame !!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom