Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Habari wana jukwaa hili,
Nimeiona sehemu mbali mbali na kwenye mitandao mingi CHADEMA na UKAWA kwa ujumla ndo wanapenda sana kusikiliza hotuba za rais Magufuli. Kuonesha hilo ni ukweli wao ndo wameanzisha mada nyingi nzuri na mbaya alizoongea rais wetu mpendwa na wao ndo wana misemo mingi ambayo rais wetu mpendwa ashawahi kuitoa mfano "mwafaa". Vijana wa UKAWA hupenda sana kulitumia hili neno.
Mara wanasema Magufuli anatumia sana kisukuma lakini walivyo wanafiki watakwambia mimi simsikilizagi huyo rais wenu wa CCM. Sasa swali la kujiuliza kama kweli huwa hawamsikilizi hiyo misemo wanaijuaje na wanajuaje kama rais anapenda kuongea kisukuma?