Hiki chama sasa kione aibu. Hivi ni muujiza gani utafanyika ili wao washinde umeya wa Dar. Hayo mapingamizi yataendelea mpaka lini? Ni kujipotezea muda tu. Watambue kwamba Ilala na Kinondoni ilikuwa hivyo, mwisho wa siku wakakaa. Magamba ni zaidi ya uwajuavyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.