shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Wana jamii leo nilikuwa kwenye msiba wa Mzee wetu Emmanuel Makaidi pale sinza, wkt tukiwa msibani nilisikia baadhi ya wana ndugu wakilalamika kuwa UKAWA wameongezea gharama za msiba ikiwa ni pamoja na kutoa huduma za chakula na nk zaidi ya siku 4 za ziada huku Mheshimiwa Mbowe na Lowasa wakiwa wametoa rambarambi ya shilingi laki tatu tu (300,000/=). UKAWA watagharimia siku ya kuzika tu. Familia ingeweza kufanya maziko tangi wiki iliyopita lkn UKAWA waliwazuai ili mheshimiwa LOWASSA amalize ratiba ya mikutano huko MBEYA.