UKAWA undeni mkakati maalum wa kumng'oa Mkuchika Newala

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,567
217,912
Huyu Mzee ndiye Mwenyekiti wa KAMATI YA MAADILI ya bunge la Tanzania , huyu ndiye mkandamizaji mkubwa wa haki za wabunge .

Kwa umri wake mkubwa wa miaka 68 tulitarajia awe mfano bora kwa jamii kwa kuhimiza mahusiano bora ndani ya bunge , jambo ambalo ameshindwa , kama Mwenyekiti wa kamati ameshindwa kumshauri Spika Job Ndugai kuacha kuvunja katiba ya nchi kwa mihemko ya chama chake cha ccm.

UKAWA mkijipanga vizuri kuanzia sasa huyu Mzee mnamg'oa Pale Newala bila shaka yoyote , ILI IWE FUNDISHO KWA WAZEE WENGINE , kwamba unapokuwa mtu mzima ni lazima ujivike cheo cha usuluhishi na ushauri , badala ya kushabikia UNOKO unaovunja katiba ya nchi .

Naomba kuwasilisha .
 
Vijana wa Leo ndio wazee wa kesho. 2020 Unadhani mbunge Adadi hawezi kuwa mwenyekiti wa hiyo kamati?
Usimtazame Mkuchika, tazama mfumo.
 
Huyu Mzee ndiye Mwenyekiti wa KAMATI YA MAADILI ya bunge la Tanzania , huyu ndiye mkandamizaji mkubwa wa haki za wabunge .

Kwa umri wake mkubwa wa miaka 68 tulitarajia awe mfano bora kwa jamii kwa kuhimiza mahusiano bora ndani ya bunge , jambo ambalo ameshindwa , kama Mwenyekiti wa kamati ameshindwa kumshauri Spika Job Ndugai kuacha kuvunja katiba ya nchi kwa mihemko ya chama chake cha ccm.

UKAWA mkijipanga vizuri kuanzia sasa huyu Mzee mnamg'oa Pale Newala bila shaka yoyote , ILI IWE FUNDISHO KWA WAZEE WENGINE , kwamba unapokuwa mtu mzima ni lazima ujivike cheo cha usuluhishi na ushauri , badala ya kushabikia UNOKO unaovunja katiba ya nchi .

Naomba kuwasilisha .
Hii ni kweli kabisa mkuu. Nkumbuka jinsi Mathias Cikawe na Philipo Marmo walivyopigwa chini hadi wasiamini kilichotokea...hawa wawili nao walikuwa wapuuzi sana lakini hatima yao ilikuwa mbaya sana. Na siku za Mkuchika kukaa bungeni zinahesabika pia.
 
Huyu Mzee ndiye Mwenyekiti wa KAMATI YA MAADILI ya bunge la Tanzania , huyu ndiye mkandamizaji mkubwa wa haki za wabunge .

Kwa umri wake mkubwa wa miaka 68 tulitarajia awe mfano bora kwa jamii kwa kuhimiza mahusiano bora ndani ya bunge , jambo ambalo ameshindwa , kama Mwenyekiti wa kamati ameshindwa kumshauri Spika Job Ndugai kuacha kuvunja katiba ya nchi kwa mihemko ya chama chake cha ccm.

UKAWA mkijipanga vizuri kuanzia sasa huyu Mzee mnamg'oa Pale Newala bila shaka yoyote , ILI IWE FUNDISHO KWA WAZEE WENGINE , kwamba unapokuwa mtu mzima ni lazima ujivike cheo cha usuluhishi na ushauri , badala ya kushabikia UNOKO unaovunja katiba ya nchi .

Naomba kuwasilisha .
Ndoto za Alinacha
 
Mkuu naona uko kimkakati zaidi:p. Hata Job Ndugai inabidi akapelekwe mchaka mchaka kule jimboni kwake maana inaonekana hana ushawishi sana ndo maana alipandwa jazba kiasi cha kumpiga na gongo mpizani wake wa ndani ya chama.
 
Siku zote siasa ni mikakati .
 
Basi utaacha mzee akaishi kituo cha polisi awasubirietu wakiingia jimboni ampigie mkuu wa wilaya aamrishe vijana wake
 
Kwa siasa hizihizi za kutetea wawekezaji na wauza sembe au kuna mbinu nyingine?
Wawekezaji wote wameletwa na kulindwa na ccm kwa gharama ya damu , wauza unga wote unaowajua ni wafadhili wa ccm na wengine ni viongozi wa ccm.

Wabunge wa upinzani waliopinga wawekezaji hawa walifukuzwa ndani ya bunge na kufunguliwa mashitaka .
 
Back
Top Bottom