UKAWA undeni mkakati maalum wa kumng'oa Mkuchika Newala

Ni rahisi sana kumng'oa huyu mzee pale Newala. Tatizo litakalopelekea ashindwe kung'oka ni mpasuko ndani ya CUF ambacho ndicho chama pinzani chenye nguvu pale Newala Mjini. Kuna jamaa aliyepambana na Mkuchika katika uchaguzi uliopita, anaitwa Manguya.

Jamaa anakubalika hadi leo licha ya kwamba alishindwa uchaguzi uliopita baada ya polisi kuwapiga mabomu wananchi na kisha kumtangaza Mkuchika kuwa mshindi huku moshi wa mabomu ukifuka. Kama suluhisho likipatikana kwa makundi yanayokinzana ndani ya CUF ni dhahiri ya kwamba CCM hawatakuwa na chao pale Newala Mjini ifikapo 2020.
 
Ni rahisi sana kumng'oa huyu mzee pale Newala. Tatizo litakalopelekea ashindwe kung'oka ni mpasuko ndani ya CUF ambacho ndicho chama pinzani chenye nguvu pale Newala Mjini. Kuna jamaa aliyepambana na Mkuchika katika uchaguzi uliopita, anaitwa Manguya. Jamaa anakubalika hadi leo licha ya kwamba alishindwa uchaguzi uliopita baada ya polisi kuwapiga mabomu wananchi na kisha kumtangaza Mkuchika kuwa mshindi huku moshi wa mabomu ukifuka. Kama suluhisho likipatikana kwa makundi yanayokinzana ndani ya CUF ni dhahiri ya kwamba CCM hawatakuwa na chao pale Newala Mjini ifikapo 2020.
Nimelichukua hili mkuu , lakini Msaliti Lipumba hana nafasi UKAWA kwa namna yoyote ile .
 
Huyu Mzee ndiye Mwenyekiti wa KAMATI YA MAADILI ya bunge la Tanzania , huyu ndiye mkandamizaji mkubwa wa haki za wabunge .

Kwa umri wake mkubwa wa miaka 68 tulitarajia awe mfano bora kwa jamii kwa kuhimiza mahusiano bora ndani ya bunge , jambo ambalo ameshindwa , kama Mwenyekiti wa kamati ameshindwa kumshauri Spika Job Ndugai kuacha kuvunja katiba ya nchi kwa mihemko ya chama chake cha ccm.

UKAWA mkijipanga vizuri kuanzia sasa huyu Mzee mnamg'oa Pale Newala bila shaka yoyote , ILI IWE FUNDISHO KWA WAZEE WENGINE , kwamba unapokuwa mtu mzima ni lazima ujivike cheo cha usuluhishi na ushauri , badala ya kushabikia UNOKO unaovunja katiba ya nchi .

Naomba kuwasilisha .
2020 anatoka kirahisi sana maana tyr hapendwi mwaka juzi alishinda kwa goli LA mkono
 
Mi naona mchakata uwe Tanzania mzima kuna watu wakuwatoa bungeni sio huyu wabunge wote wa ccm tuwafanyie mchakato tuwatoe maana wengine ni wasomi ila walikana hadi maandiko yao
 
Huyu Mzee ndiye Mwenyekiti wa KAMATI YA MAADILI ya bunge la Tanzania , huyu ndiye mkandamizaji mkubwa wa haki za wabunge .

Kwa umri wake mkubwa wa miaka 68 tulitarajia awe mfano bora kwa jamii kwa kuhimiza mahusiano bora ndani ya bunge , jambo ambalo ameshindwa , kama Mwenyekiti wa kamati ameshindwa kumshauri Spika Job Ndugai kuacha kuvunja katiba ya nchi kwa mihemko ya chama chake cha ccm.

UKAWA mkijipanga vizuri kuanzia sasa huyu Mzee mnamg'oa Pale Newala bila shaka yoyote , ILI IWE FUNDISHO KWA WAZEE WENGINE , kwamba unapokuwa mtu mzima ni lazima ujivike cheo cha usuluhishi na ushauri , badala ya kushabikia UNOKO unaovunja katiba ya nchi .

Naomba kuwasilisha .
Mkuu unapenda sana kuota.Hivi kuna dubwana linaitwa ukawa mpaka sasa?
Huko newala na masasi si mliwaachia NLD mbona walipata kura mbili tu.
 
Unafahamu maana ya mkakati ?
Unapanga mkakati kwa kutumia ukawa ipi?
CUF imekufa
NLD imekufa
NCCR imekufa
Chadema inachechemea,na huko kusini wala hakuna anaetaka kusikia chadema. korosho imepanda kilo sh.4,800 kutoka sh.900,nani atakusikiliza wewe na mapovu yako
 
Toka kusema Chadema imekufa umebadili kauli kuwa inachechemea..endelea kukimbiza Mwenge
 
Unapanga mkakati kwa kutumia ukawa ipi?
CUF imekufa
NLD imekufa
NCCR imekufa
Chadema inachechemea,na huko kusini wala hakuna anaetaka kusikia chadema. korosho imepanda kilo sh.4,800 kutoka sh.900,nani atakusikiliza wewe na mapovu yako
Yale yale ya Makinikia !
 
Mkuchika mwaka jana jimboni kwake aliangushwa. Hata halmashauri yake ya wilaya ya Newala madiwani wa CCM ni wachache. Madiwani wengi ni wa UKAWA.
 
Unapanga mkakati kwa kutumia ukawa ipi?
CUF imekufa
NLD imekufa
NCCR imekufa
Chadema inachechemea,na huko kusini wala hakuna anaetaka kusikia chadema. korosho imepanda kilo sh.4,800 kutoka sh.900,nani atakusikiliza wewe na mapovu yako
Korosho haojapanda bei tumia akili zako vzr. wezi wa fedha za wakulima walisitasita kufanya mambo yao mwaka Jana. Na kwa taarifa yako washajua namna ya kuiba pamoja na mkuu kukaba. kwani tayari bei ya mazao mengine kama mbaazi choroko na ufuta ineshuka tena. na bei ya korosho msimu huu utaniambia. tutake radhi wakulima wa korosho
 
Wewe unaonekana ni mwizi tu wa korosho,ndio maana unaendekeza moyo wako kwa utabiri hewa.
Hiyo v8,utaiuza tu urudi kwenye mark x soon
 
Naskia huyo Mzee Uchawi wake ni wa Nyumbani sio wa kwenda kununua, ni Kama alivyokuwa Chrisant. Maji ya Tanga Mzindakaya au Mgana Msindai!

Ukianza harakati Jimboni Newala jiandae Gari kuacha Njia na kutumbukia Mtaroni kutokana na 'uzembe' wa dereva
 
Safari hii tutamkomesha kudadeki !
 
Back
Top Bottom