UKAWA undeni mkakati maalum wa kumng'oa Mkuchika Newala

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
73,317
2,000
Huyu Mzee ndiye Mwenyekiti wa KAMATI YA MAADILI ya bunge la Tanzania , huyu ndiye mkandamizaji mkubwa wa haki za wabunge .

Kwa umri wake mkubwa wa miaka 68 tulitarajia awe mfano bora kwa jamii kwa kuhimiza mahusiano bora ndani ya bunge , jambo ambalo ameshindwa , kama Mwenyekiti wa kamati ameshindwa kumshauri Spika Job Ndugai kuacha kuvunja katiba ya nchi kwa mihemko ya chama chake cha ccm.

UKAWA mkijipanga vizuri kuanzia sasa huyu Mzee mnamg'oa Pale Newala bila shaka yoyote , ILI IWE FUNDISHO KWA WAZEE WENGINE , kwamba unapokuwa mtu mzima ni lazima ujivike cheo cha usuluhishi na ushauri , badala ya kushabikia UNOKO unaovunja katiba ya nchi .

Naomba kuwasilisha .
 
ipogolo

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
5,988

Vijana wa Leo ndio wazee wa kesho. 2020 Unadhani mbunge Adadi hawezi kuwa mwenyekiti wa hiyo kamati?
Usimtazame Mkuchika, tazama mfumo.
 
tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
16,103

Hii ni kweli kabisa mkuu. Nkumbuka jinsi Mathias Cikawe na Philipo Marmo walivyopigwa chini hadi wasiamini kilichotokea...hawa wawili nao walikuwa wapuuzi sana lakini hatima yao ilikuwa mbaya sana. Na siku za Mkuchika kukaa bungeni zinahesabika pia.
 
Ibambasi

JF-Expert Member
Jul 25, 2007
8,341
2,000
Huyu Mzee ndiye Mwenyekiti wa KAMATI YA MAADILI ya bunge la Tanzania , huyu ndiye mkandamizaji mkubwa wa haki za wabunge .

Kwa umri wake mkubwa wa miaka 68 tulitarajia awe mfano bora kwa jamii kwa kuhimiza mahusiano bora ndani ya bunge , jambo ambalo ameshindwa , kama Mwenyekiti wa kamati ameshindwa kumshauri Spika Job Ndugai kuacha kuvunja katiba ya nchi kwa mihemko ya chama chake cha ccm.

UKAWA mkijipanga vizuri kuanzia sasa huyu Mzee mnamg'oa Pale Newala bila shaka yoyote , ILI IWE FUNDISHO KWA WAZEE WENGINE , kwamba unapokuwa mtu mzima ni lazima ujivike cheo cha usuluhishi na ushauri , badala ya kushabikia UNOKO unaovunja katiba ya nchi .

Naomba kuwasilisha .
Ndoto za Alinacha
 
Sooth

JF-Expert Member
Apr 27, 2009
3,903
2,000
Mkuu naona uko kimkakati zaidi:p. Hata Job Ndugai inabidi akapelekwe mchaka mchaka kule jimboni kwake maana inaonekana hana ushawishi sana ndo maana alipandwa jazba kiasi cha kumpiga na gongo mpizani wake wa ndani ya chama.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
73,317
2,000
Mkuu naona uko kimkakati zaidi:p. Hata Job Ndugai inabidi akapelekwe mchaka mchaka kule jimboni kwake maana inaonekana hana ushawishi sana ndo maana alipandwa jazba kiasi cha kumpiga na gongo mpizani wake wa ndani ya chama.
Siku zote siasa ni mikakati .
 
Mkumbwa Jr

JF-Expert Member
Mar 23, 2016
1,179
2,000
Basi utaacha mzee akaishi kituo cha polisi awasubirietu wakiingia jimboni ampigie mkuu wa wilaya aamrishe vijana wake
 
mwanaludewa

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
764
1,000
Vijana wa Leo ndio wazee wa kesho. 2020 Unadhani mbunge Adadi hawezi kuwa mwenyekiti wa hiyo kamati?
Usimtazame Mkuchika, tazama mfumo.
Ni kweli lkn kuna watu kutokana na kufuata nyanyo nyakati Fulani jicho LA haki linawahama!Huyu inasemekana alilizamisha ushindi kama nape wa mtama 2015 ukiwauliza wana newala watakuambia nini kilitokea labda pale kwake nambunga ndiyo wanamkubali lkn mnyambe,chihangu,kitangari na mkunya hawtaki kusikia hilo jina!
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
73,317
2,000
Ni kweli lkn kuna watu kutokana na kufuata nyanyo nyakati Fulani jicho LA haki linawahama!Huyu inasemekana alilizamisha ushindi kama nape wa mtama 2015 ukiwauliza wana newala watakuambia nini kilitokea labda pale kwake nambunga ndiyo wanamkubali lkn mnyambe,chihangu,kitangari na mkunya hawtaki kusikia hilo jina!
Mipango inaendelea vizuri , naambiwa mpaka leo Newala kuna shule za Makuti .
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom