enockino
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 273
- 171
Kuna wakati walisema Rais mstaafu Jakaya Kikwete ni dhaifu, kwamba hachukui hatua kwa watendaji wasio waadilifu. Wakafikia hatua ya kusema 'rais gani anacheka cheka tu..'
Wakasema, CCM inaelekea kufa, wakakitabiria anguko kama la KANU kule Kenya.
Leo Rais ni Magufuli, anayechukua hatua na kunyoosha nchi bila kuangalia uso wa mtu hadi wakasema anaendesha nchi kwa kutumia ilani yao, wanatoa milio ya kila aina, wanamuita dikteta, rais wa muhula mmoja.
Sasa wamefikia hatua wanasema ni heri JK, wanajifanya wamesahau jinsi walivyomtukana na kumdhalilisha na bado akatabasamu na kunywa nao juisi ikulu!
Mwatakani enyi viumbe? Endeleeni kutoa milio, ikitupendeza tutaweka kwenye simu.