lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Ukawa tumieni njia zenu kufikisha habari za bunge kwa wananchi.
Moja ya njia wapo ya kutumia ni mitandao ya kijamii kama whatsp.
Whatsp unaweza kuweka video ya dakika kumi na zaidi.
Fungueni acc yenu ya whatsp inayoitwa ukawa,mtafuteni mwandishi habari mahiri wa mitandao ya kijamii,ambaye kila baada ya mbunge wa ukawa kumaliza tu kuchangia hoja bungeni ,anatupia video ya mbunge wa ukawa,inasambazwa kwenye magrop tofauti tofauti baada ya dakika kumi tu,ujumbe unafika nchi nzima.
Mkifanikiwa kutumia njia hii kwa ufanisi wananchi wengi watapata habari za bunge haraka kuliko live ya tv.
Nawambie mkifanikiwa njia hiyo. Ccm lazima watawaiga tu,au wanaweza kuanza kugombana wenyewe kwa wenyewe