Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,764
- 2,347
Kwa bahati mbaya kinachotetewa na UKAWA bungeni hakijawa dhahiri kwa wananchi wengi, na hii ni kutokana na hulka inayojiotkeza sasa kwa wana upinzani kuendeleza tabia tu, nasema tabia ya kususa kila kilicho mbele yao.
Vyama vyenyewe hivi vinavyounda UKAWA wanaviongozi masultani au machifu kwa miaka zaidi ya 20 sasa.
Kwa hakika na kijuu juu wanaonekana kama watoto wadogo wanaodeka , huku wamebebwa na serikali hiyo hiyo wanayoisusia.
Sasa hivi UKAWA ina ugomvi na mihimili miwili ya dola, Serikali na Bunge.
Bungeni zile mbwembwe walizozoea kuzifanya , hasa wale wabunge watukutu waliozoea kufanya mambo ya patashika ndani ya utaratibu wa bunge, sasa wamedhibitiwa ki utaratibu.
Ni kukosa mbinu mbadala ya kuliona jinsi ya kuzunguka taratibu hizo kisheria(circumvent), wao wameamua kugomea vikao kabisa.
Huo ni utoto, hasa ukitilia maanani kwamba wako wachache na hawawezi kubadilisha kitu kwa uchache wao.
Hapo panahitajika vichwa vya ziada, na ndio maana sasa namkumbuka Mchungaji Mtikila.
Mtikila aliweza, peke yake kutumia kichwa, na kubatilisha sheria kimahakama na kupata ufafanuzi katika masuala mengi.
UKAWA hawana Mtikila wao, wao ni kuandamana, fujo, virungu.
Huo ndio upeo wao.
Katika kufikiri wanaweza kulilazimisha Bunge , ati kulishitaki kwa wananchi ambao wengi wao ni masikini , sasa UKAWA imeingia ugomvi na Serikali.
Kwa mtu mwenye akili ya kawaida kabisa, unless Ukawa wana ajenda isiyoeleweka, wao wanajenga picha ya watu wa fujo.
Mahali pa maongezi, kutunga sheria na maridhiano namna ya kuendesha nchi ni bungeni.
Wananchi sio a free area ya kufanya fujo, halafu unaondoka kulala na mkeo/mumueo huku watu wameswekwa ndani!
Tumeona Kahama, vijana wanaswekwa ndani kwa sababu tu ya kuhamasika kijinga.
Nasema fujo kwa sababu kwa makusudi kabisa, na kwa sababu nzuri tu, serikali ya CCM imewapiga marufuku kuendelea na kampeni ya ati kulishitaki bunge kwa wananchi.
Wananchi have better things to do, unless walengwa wa kampeni ya UKAWA wengi wao ni vagabonds, and persons of no fixed abode, wazururaji.
Tufike mahala, UKAWA waache kutawaliwa na akili ndogo za kitoto, na walitazame taifa kwa ujumla wake.
Kuna wabunge vijana bungeni toka UKAWA ni vichwa vizuri tu, wasinyimwe nafasi ya kuonyesha vipaji vyao katika uwanda wa juu aidi kisiasa nchini, bungeni.