Ukawa sera ya jino kwa jino poa sana

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
847
Nawatonya kuwa sera ya CUF ya jino kwa jino ni sahihi kabisa maana msione mnacheka na ccm na kudhana mko poa.......sera ya jino kwa jino ndio silaha yetu kuanzia sasa hivi,wakimwaga mboga sisi twamwaga ugali,wakipiga shafu ili sisi twarudisha.
 
Back
Top Bottom