UKAWA: Ruzuku ya kura za urais, mtihani mgumu

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Kumekuwa na sintofahamu ya ni nani atasimama kuwa mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA, ingawaje pia kuna majimbo ya ubunge bado yanaleta shida kidogo kuamua nani wasimamishe mgombea lakini ukweli utabaki kuwa mgombea urais ndio mtihani mgumu kwa ukawa kwenda kwenye uchaguzi huu wakiwa wamoja

Habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba ruzuku ambayo itapatikana kutokana na kura za urais zitagawanywa vipi?

Lakini pia swala kubwa kabisa kuliko yote ni kwamba haya sio makubaliano ya kisheria, je atakayepewa dhamana atatekeleza makubaliano kwa kugawa ruzuku kwa mujibu wa makubaliano?

CHADEMA hawa waamini kabisa CUF ukizingatia mahusiano ya CUF na CCM.

Lakini pia CUF ndio kabisa hawaamini kabisa CHADEMA haswa wakikumbuka CHADEMA ilichowafanya baada ya kupata wabunge wengi bungeni na kuvitosa vyama vyote kwenye serikali yao ya upinzani

Safari bado ni ngumu kidogo
.
 
chadema wanaweza kusimama peke yao na wakashinda if that is the only option.
 
Back
Top Bottom