UKAWA ni tishio kuliko chama kimoja kimoja pekee

nkulikwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
721
813
Wanatawala wenye akili wanajua kuwa umoja ni nguvu kuliko utengano. Ni kwa
namna hiyo kwamba kila wanapoona umoja lazima hawakikishe unavunjwa hata mnara wa Babeli ulileta vurugu zaidi jambo kusudi lake lilikuwa muhimu sana.

Katika umoja mtu mmoja mmoja si muhimu kama ule umoja wenyewe. Kwahiyo chama kimoja chenye umoja ni muhimu sana na watawala pia wana akili wakiona umoja kama huo lazima waunde vyama vidogo vidogo vyevye kuleta shida kwenye umoja lakini lazima watafute watu maarufu kuwahadaa wananchi ili waone kuona shida na vurugu. Wale waliopo kwenye umoja wakiwa wajinga watawanyika kwa mtawala huo ni ushindi.

Kwahiyo kuna vyama visivyopenda umoja lazima vijiondoe kwenye umoja ili kuwapa watawala sababu ya kutawala daima. Ndiyo maana wazungu hupenda sana kuungana kama team ila waafrika ugonjwa ni kutokupenda umoja. Watu wenye nguvu na uwawishi fulani huwa mateka wazuri kwa watawala ili kufanya kundi kubwa kufuata bila kujua hila na ghiriba.
 
Kwa sasa wanaelekea kuchelewa maana wanasababisha vyama kuwa makini zaidi.Pia kiongozi aliyepo hana haiba ya siasa na chama kikuu CHADEMA kimetapakaa mno kiasi cha kukivunja kirahisi. Tusubiri 2019 to 2020
 
Back
Top Bottom