Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Mwaka jana wakati wa Uchaguzi tulishuhudia ulaghai mwingi ikiwamo kuwadanganya wananchi kwamba kuna kitu kinaitwa UKAWA kwa ajili ya kupigania Katiba ya Wananchi.
Wapi! Kumbe zilikuwa 'fix" tu za kuongeza kura na majimbo ya Uchaguzi baada ya kuona Wapinzani wamekosa Sera za kuwashawishi Wananchi wawachague!
Kwa vijana wengi walioshikilia mabadiliko ya kuitoa tu CCM madarakani bila kuchuja na kupembua mambo wakaingizwa Mjini na kuanza kushabikia kwa nguvu na hata kudeki barabara!
Masikini Vijana wangu! Ule Umoja wa Katibu ya Wananchi kama kweli ilikuwa nia yao uko wapi?
Waulizeni hao UKAWA mbona hakuna dalili za kutetea Katiba kwa sasa.
Ajabu watu wanatetea Makampuni ya Simu kwamba yanalipa Kodi nyingi badala ya kutetea hata watumishi kwamba wapunguziwe Excess charges kwenye Kodi ya Mishahara kwa kuwa punguzo la 11% hadi 9%
halileti nafuu yoyote kwa watumishi wengine ukiacha wa Kima cha Chini? Au badala ya kuungana na Rais kutumbua majipu hao hao wanampinga na kuwashauri waliotumbuliwa waende Mahakamani!!
Mwanzoni walisema Serikali ya CCM inanyanyasa Machinga na Mama Ntilie? Sasa baadhi ya Majiji yanashikiliwa na UKAWA,
Je unyanyasaji wa Machinga na Mama Ntilie umeisha au una dalili ya kwisha? Kumbe UKAWA hawakuwa na lengo la kuwatetea Wanyonge zaidi ya kumpeleka mtu aende tu Ikulu basi! Mabadiliko ya kweli ndio haya ya sasa.
Tumuunge Mkono Rais kwa kuwa anayo dhamiri ya kweli ya kuleta mabadiliko!